Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Wanyoooshe baba wamezidi midomo. Watu kama Hao hawanaga shukrani
 
Nasikia wasukuma wana hizi tabia[emoji23]
Mke wa kaka yao awafulie nguo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772]
Akiyanani,
Nifue nguo za mume,
Za watoto,
Nifue na za mashemeji??
 
Mgeni wako sio mstaarabu kabisa
 
Ukipunguza masikhara kumbe una nondo namna hii tu yeye? 😳😳😳
 
Kwa Maisha ya mjini na sio dsm tu mfano Mimi nimekulia bukoba mjini niseme tu Maisha ya mjini mtu anabidi kutoa Taarifa mwezi mmoja kabla hajaja kukutembelea .

Hii sio Chuki Wala kutopendana na hali ya kawaida ili kuondoa lawama kwa mwenyeji na mgeni .

Then baada yakutaka Bukoba nimeishi dsm na uncle MAISHA hayakuwa marahisi kivile kiasi Cha kufikia kwake unaanza kula ugali maharage na wali maharage hadi unaanza kujuta.

So Maisha ya mjini sio marahisi ni tofauti na kijijini huku umakini na matumizi ya Akili ni muhimu Tena muhimu ni kuhakikisha Afya ya Akili inakuwa salama.


So watu wa mikoani hasa vijijini mnabidi kupiga simu Mapema tofauti na hapo utazua mgogoro na mwenyeji wako.
 


Uko sahihi, ila yaendee haya mambo kwa Hekima na usiwe direct kama wewe peke yako ndo una busara, na wao wote wapumbavu.

Tofauti yao na wewe ni exposure tu, na sio kwamba wewe ni mjanja sana, hapana, huna ujanja wowote ule, ni fursa tu zimekutembelea.

Tunaitajiana, asikwambia mtu, unaweza umwa hapo mpaka mke akakutelekeza, ukaishia kwenda kijijini wao ndo wakakuhudumia.

Kuna wakati tunalipa gharama ya kusaidia watu. Kwa sababu tunatenda mem, unakuwa straight, unamwelewesha, basi.

Unawezaje mzimia mtu simu aliye stand? Nyie pumbavu ndo mnafanya watu wote tunaoishi Dat tuonekane wapumbavu, kwa nini usiongee naye umpe msimamo, kwa upendo?
 


Hawa wake zenu mnaowaabudu wakija ndugu zao kuishi hapo hamfungui hata mdomo, hao wake zenu ndo wanaliwa huko mtaani na boda boda anayeleta gas, if you engage women that much, you engage shit, and you will pay the cost.
 
Yote ulioyaandika yanaongozwa na roho mbaya na umasikini. Kwa mtu muelewa anajua utaratibu na Aina ya maisha ya kijijini usingeshangaa mtu wa kijijini kuja kwako. Wao bado wapo ktk maisha ya kijamaa, kwao vitu, vyakula malazi sio bora kuliko utu.

Binafsi kila siku napenda kuwe na ugeni nyumbani kwangu, Kama naweza nawapatia kula, wakalala hayo mambo yao mengine mm sijali.

Niwasihi tu, maisha hayana formula unawadharau leo kesho unaweza ukawategemea, itakuaje nawe wakakupuuza na kukukimbia? Hilo unaloliita pambo lako laweza kukukimbia na uliowazimia simu wakawa kimbilio.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nipo Direct sipendi unafiki. Hutaki amua. Nimeshasema sitaki wageni wa ghafla ambao sikujipanga nao. Nina watoto wadogo wananitegemea. Period.
 
Ndo nimeshasema. Ole wako uje kunifanyia surprise. Nitakusurprise dogo utashangaaa.
 
Ukiumwa muda mrefu uko kitandani mke wako akikukimbia usijali sisi ndugu zako mijitu tutakuja kukuhudumia
 
Mambo mengine ni kuendekeza uchoyo tu jamani tufike sehemu tuongee ukweli kabisa, unamkimbiaje ndugu yako?? Rafiki yako?? Eti tu kisa maisha yako hayajakaa sawa?? Mimi Nina chumba na sebule na mgeni akija namfuata mbezi namtandikia godolo sebulen mim na nke wangu tunalala chumbani, kama mgeni ni mwanaume asubuh naamsha naye kwenye mishe mishe zangu, kama ni wa kike anabak na wifi yake, huyo mgen atakaa siku alizopanga yeye kukaa sio nimpangie maana hata safari sikumpangia. Akiomba nimzungushe town navunja ratiba zangu ili asafishe macho.

Kumbuka kila ntu anapenda kuja dar na hasa akiwa na ndugu huku anakuwa huru kwasababu anajua ana mwenyeji tuwe wapole tu chakula tuuuu kisitutoe imani, kama Ni kusemana sijui kumsema mke hayo hayawezi kuisha kwanini sisi hatuwawesemi??? Mbona kuyaandika hayo tayari umewasema?? Kuna mwanamke aliyeolewa akakosa kusemwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…