Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Nipo Direct sipendi unafiki. Hutaki amua. Nimeshasema sitaki wageni wa ghafla ambao sikujipanga nao. Nina watoto wadogo wananitegemea. Period.

A direct person doesn't switch off his phone, coward is the right name! Direct person respectful says:

  • I apologize, I can't help.
  • Not this time, may be next time.
  • ningejua mapema ningejiandaa
  • Nyumba yangu haitoshi.
  • Naweza kukusiriri siku moja.
  • Nitakusaidia hela ya lodge 1 night.

Huwezi telekeza mtu unayemfaham stand, na ukazima simu halafu uje hapa kungoja tu support ujinga huo sisi.
 
Kinachosikitisha zaidi, ndugu wa mke, wakija haina shida, Ila ndugu wa mume ndo wanalalamikiwa sana, hauwezi kumzimia simu ndugu yako huo ni upumbavu
Ukweli kabisaa, ndugu wa mke huwa hawapatagii tabuuu.

Sitasahau mie nilichofanyiwa, niliondoka mie mdogo wa mke wa Kaka alibakiii. Baadae nilijua kuwa yule ndo ubavu wa Kaka na pale ni kwake ana mamlaka ya nani akae nani asikae.

Mwaka wa 11 huu sijawahi kanyaga tena kwao.
 
# Hata dar mbn ni mikoani
# Wewe una asili ya roho mbaya - wewe mbn ukienda kijijini huwa unafika kwa kila ndugu?
 
Unawangojea kwenye kona
 
Soma hapo mwanzo nimesema mara nyingi.
Hata wanaonyang"anya mali za mjane na watoto ni ndugu wa mume sio wa mke.

Mawifi na mama wakwe upande wa mume ndo huwa wakorofi zaidi.
Nakubaliana nawewe, lakini ni rahisi zaidi mwanamke kuwavumili ndugu zake mapungufu Yao kuliko ya ndugu wa mume, ingawa Mara nyingi wanawake waliotoka kwenye maisha ya shida ndo wanakuwaga na roho mbaya sana kwa ndugu wa mume kwasababu ya roho y kimaskini tuu.
 
Na huu ndio ustaarabu [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…