Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

Na ndo kafa yeye katuacha.
CCM ilikuwa na utamaduni wa kuheshimiana, yeye ndo kaja kaanzisha tabia ya kutukana viongozi wastaafu, rejea kina Musiba, Hapi....sasa kibao kimemgeukia alale Kwa kutulia huko kaburini ale mitusi.
Huna wafu huko kwenye ukoo wako ama huwa hamfi kwenu?!
 
Wasaliti wa magufuli hadi kumuomba msamaha wanadiriki kuhoji integrity yake baada ya yeye kufa na kujipendekeza kwa mama ili kupewa cheo. Kuna huyu nape tunamuonya. Kuna january kajipendekeza hadi kapewa cheo kwa connection tunazijua. Kuna membe. Wacha waendelee kama hatujakipasua kidebe hiki ccm. Mjue uimara wa ccm ni kuwaepuka wanafiki na kutetea maslahi ya umma. Vinginevyo tutakipasua.
 
Umemaliza kila kitu.
 
BIG UP
 
ukisema hivyo ndio familia inapata mahitaji. Sasa funza wanamfaidi tu huko ardhini
 
Kutesa kwa zamu jamani watu tuliogopa hata kumtaja Rais wetu hazarani....ukisikia hodi home kwako na. Wac wac mtupu wasiojulikana [emoji2307][emoji2307] sasa hivi tuna amani.... Mungu sio bwege ati.....kiko wp eehh?

TZ iko pale pale na tunasonga mbele chini ya mama yetu Samia....hakuna viroba koko beach....hakuna wasiojulikana hakuna kubambikiwa kesi.. hakuna uporaji wa pesa za wa Tanzania..... hakuna task force.... hakuna maelekezo toka kwa mfalme njoozi....peace and love now....mtuache.... ukweli ndio huo...tuliteswa Sanaa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kweli alikuwa mshamba.
Wajanja ni wale wanaoyaacha mafisadi yajimwambafai na kuzurumu hadi kuuwa RAIA masikini

Dhalimu mwenyewe alikuwa muuaji, na hajawahi kupambana na ufisadi, bali matumizi ya neno fisadi.
 
Wewe jamaa unafikiri kwa kutumia nini?
Badala ya kukipambania chama ambacho kipo,unampambani magufuli ambae hayupo!!

Duuh! Ammaa akili ni nywele!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuona mtu anamsifia magufuli Ujue ni mnufaika wa wizi wa 1.5tn

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa ni dhalimu na mshamba wa kutupa, tunashukuru Mungu Kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Sasa Mungu wako mbona hajakuondolea ccm inayokupa stress kila siku?
 
Kwa kunisaidia onyesha barabara yoyote aliyojenga kwa mshahara wake.


Ameanza na mchafu zaidi.
Waliobaki wasafi?

Sasa unalialia kitu gani humu?
Mpaka mnasusia uchaguzi tena uchaguzi mdogo?
 
Si
Waliobaki wasafi?

Sasa unalialia kitu gani humu?
Mpaka mnasusia uchaguzi tena uchaguzi mdogo?
Si wasafi, ila sio makatili kama yeye. Hatushiriki ukhanithi na hilo halina mjadala. Kapikeni idadi ya wapiga kura kuongopea umma kuwa mnakubalika.
 
Si

Si wasafi, ila sio makatili kama yeye. Hatushiriki ukhanithi na hilo halina mjadala. Kapikeni idadi ya wapiga kura kuongopea umma kuwa mnakubalika.
Siyo wakatili kama yeye!

Sasa mnaogopa nini kushiriki uchaguzi? Katili wenu si hayupo?
 
Hatushiriki tunataka mshinde vizuri, ww unapoteza nini?
Kwa hiyo nyie hamtaki kushinda?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda ni mwalimu mzuri, 2025 sijui mtamsingizia nani mtakapopata kipigo cha mbwa koko maama dhalimu wenu wa kumbebeshea zigo hayupo
 
" ...uimara wa CCM ni kuwaepuka wanafiki..."
Sasa hapo chama si kitaepuka wanachama wake wote na kutokuwa na hata mfagizi wa ofisi ya tawi!!!???
 
Kwa hiyo nyie hamtaki kushinda?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda ni mwalimu mzuri, 2025 sijui mtamsingizia nani mtakapopata kipigo cha mbwa koko maama dhalimu wenu wa kumbebeshea zigo hayupo

Hakuna ccm ya kushinda tena kwa kishindo kwa uchaguzi halali nchi hii. Hilo hata utembee uchi nchi nzima. Hiki sio kizazi cha hicho chama cha kizee. Na kwa taarifa yako bila tume huru ya uchaguzi, hakuna mtu mwenye akili timamu atashiriki huo upuuzi. Na mkilogwa tu mkakubali tume huru ya uchaguzi huo ndio utakuwa mwisho wa ccm kuwa na maamuzi ya kipuuzi kwenye nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…