Ukiona mtu anamtukana Magu jua ni
Jambazi
Mwizi
Mfanya kazi wa serikalini aliyezoea rushwa na deals fake.
Askari wale wa deals fake.
Wafanya kazi serikalini waliokosa vipesa vya posho na vi semina uchwara vilivyokuwa havina maana na kupewa pesa za bure.
Doctors wa fake deals.
Nurses.
Traffic.
Wizarani.
Kuna wa$3ng3 walikuwa wanadhulumu viwanja vya wanachi masikini...
Walimu wenye vyeti fake.
Waliofukuzwa kazi kwa kukosa maadili kazini.
Na wengine wengi, wengi wanaomchukia Magu ni wachumia tumbo tu, wanafahamika..
Mara nyingi sababu zao kuu ni utekaji na uuaji... anyway wewe una uchungu gani na hao waliotekwa kwani umewazaa? Serikali yeyote ile duniani ukitaka kurefusha kalio kujifanya hero na umeonywa lazima kikupate, same na USA,Israel na nchi zote duniani...
Rip Magu, siwezi kuchoka kusema Magu ndiye raisi bora zaidi kwangu baada ya JK Nyerere kuwahi kutokea Tanzania...