Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani?

Kuna Watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
 
Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? kuna watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
Iko siku utajua ni kanini wengi hujisalimisa kwenye makopo haswa kuanzia saa 6 usiku. Usidhani ni wajinga kuna mengi usiku wa manane.
 
Mpaka kuona hayo makopo ni wazi na wewe unaishi nyumba za wenye matumizi ya hayo makopo. Hivyo huna haki ya kudhihaki wala ya kunanga watumiaji.

Ikiwa mtu kopo kaliweka ndani kwake linakukera nini wewe???
 
Back
Top Bottom