Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Unatakiw uwe na kisado kwa ajili ya mkojo na mfuko wa Rambo kwa ajili ya kimba😀 kwa wale wenye ratiba za kuangusha gogo usiku
 
Mm siwez kutoka nje Yann mie Nina kikopo changu fresh Huwa nakiosha safi nakianika,chumba changu self container Room [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa shangazi ushasema self containee room, hilo kopo LA nini sasa???
 
Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? kuna watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
Hii tabia hipo hata kabla ujazaliwa, au baba na Mama yako hawajazaliwa. Security, uchovu kwenda mbali, mgonjwa etc.
 
Sasa si bora kwa wanawake naweza kuwatetea kwamba sio salama kutoka nje usiku kwenda kujisaidia, Ubaya unakuja mwamba mmoja mwenye ubingwa wake nae ana kopo lake kwaajili ya kukojolea😁
 
Mchaga hata awe na choo cha ndani bado anahitaji kopo la kukojolea mkojo.
Hii tabia ilikuwepo nyumbani kwangu.
Nimeimaliza kibabe sana mimi kama baba wa nyumba
Tuheshimiane unatuchafua ukumbuke unazungumza kabila la Gily the super villain
gru-2-1.png
 
Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? kuna watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
dah umenkumbusha mbali sana
 
Sasa si bora kwa wanawake naweza kuwatetea kwamba sio salama kutoka nje usiku kwenda kujisaidia, Ubaya unakuja mwamba mmoja mwenye ubingwa wake nae ana kopo lake kwaajili ya kukojolea😁
🤣🤣
 
Kuna mpangaji wetu alisafirigi kwenda Arusha, bahati nzuri akapata mishe kule kule. so akasema vyombo achukue mdogo wake ili tuchukue chumba. Ndani uvunguni kulikuwa na makopo kama mia hivi yote yamejaa kojo.
 
Back
Top Bottom