Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Hili swala tuwaulize wanawake maana wao ndo wabunifu wa mambo ni mitindo kama hii majibu wanayo
 
Mm siwez kutoka nje Yann mie Nina kikopo changu fresh Huwa nakiosha safi nakianika,chumba changu self container Room 😂😂😂
Hapo kwenye kuanika kunakuwaga na aibu sana umenikumbusha mbali ilikuwa ni viboko nyumbani enzi hizo kutoa kopo asubuhi 😬😁😁
 
Kuna sehemu mazingira yake umbali wa choo na nyumba hautatamani hata kufungua mlango.
 
Na kijimvua hiki niende nje 😀😀😀wakati makopo km yote awee
Sijakupinga hata.
Ukweli ni kwamba hata mimi kuona mtu kabeba kopo, kindoo, kabeseni naona kinyaa sana.
 
Back
Top Bottom