Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Kuna mpangaji wetu alisafirigi kwenda Arusha, bahati nzuri akapata mishe kule kule. so akasema vyombo achukue mdogo wake ili tuchukue chumba. Ndani uvunguni kulikuwa na makopo kama mia hivi yote yamejaa kojo.
[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mpangaji wetu alisafirigi kwenda Arusha, bahati nzuri akapata mishe kule kule. so akasema vyombo achukue mdogo wake ili tuchukue chumba. Ndani uvunguni kulikuwa na makopo kama mia hivi yote yamejaa kojo.
Jinsia gani?
 
Huku kijijini hakuna hata hizo nyumba za kupnga zenye vyoo ndani
Tena kijijin unakuta choo kipo kwenye migomba, na jinsi wabongo walivo na akili wakishakuona ww ndo pisi kali basi wanatega apo chooni ukitoka tu unalo
 
😀😀Mm hakipo mbali ila nje panatisha sitoki hata Kwa viboko 😀
 
Back
Top Bottom