Kuliko utusumbue majirani tafuta kakopo kako tu!ππ€£ hizo kelele nitakazopiga!! Nitaamsha mtaa
Nashangaa atapata faida ganiSasa sijui tuking'atwa OP atafaidikwa vipi.ππ
Test leo kwenda kususu huku umefumba macho π unafika fresh na kurudi.πππππmwishowe ukutane na mtu akunase kibaoπ
Na kukiwa na baridi utakojoa hata mara 3, sasa mara tatu zote unatoka nnje si utaonekana mwangaπ,ila kwa BOYS HAIFAIImagine na baridi la mbeya lile uamke usiku aah wee
Kakisado ka foma π€£Kuliko utusumbue majirani tafuta kakopo kako tu!π
Zaidi ya hapo nikujitesa tu!!!!!Kakisado ka foma π€£
Kabisa mpendwa na uwoga unatawala hata haunanii vizuri πUtuache na starehe zetu. Usiku mtu mpaka uende nje urudi usingizi ushakata!
Inafaa mbona si unategesha tuNa kukiwa na baridi utakojoa hata mara 3, sasa mara tatu zote unatoka nnje si utaonekana mwangaπ,ila kwa BOYS HAIFAI
we unako wwππ naona uko kwenye rangeKakisado ka foma π€£
Hapo kwenye kuanika kunakuwaga na aibu sana umenikumbusha mbali ilikuwa ni viboko nyumbani enzi hizo kutoa kopo asubuhi π¬ππMm siwez kutoka nje Yann mie Nina kikopo changu fresh Huwa nakiosha safi nakianika,chumba changu self container Room πππ
Na kijimvua hiki niende nje πππwakati makopo km yote awee
Sijakupinga hata.Na kijimvua hiki niende nje πππwakati makopo km yote awee
Kwa unamakopo mangapi ndani, tujue kwa siku ni lita ngapi [emoji1787]Na kijimvua hiki niende nje [emoji3][emoji3][emoji3]wakati makopo km yote awee