Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

Unatakiw uwe na kisado kwa ajili ya mkojo na mfuko wa Rambo kwa ajili ya kimba😀 kwa wale wenye ratiba za kuangusha gogo usiku
 
Mm siwez kutoka nje Yann mie Nina kikopo changu fresh Huwa nakiosha safi nakianika,chumba changu self container Room [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa shangazi ushasema self containee room, hilo kopo LA nini sasa???
 
Hii tabia hipo hata kabla ujazaliwa, au baba na Mama yako hawajazaliwa. Security, uchovu kwenda mbali, mgonjwa etc.
 
Sasa si bora kwa wanawake naweza kuwatetea kwamba sio salama kutoka nje usiku kwenda kujisaidia, Ubaya unakuja mwamba mmoja mwenye ubingwa wake nae ana kopo lake kwaajili ya kukojolea😁
 
dah umenkumbusha mbali sana
 
Sasa si bora kwa wanawake naweza kuwatetea kwamba sio salama kutoka nje usiku kwenda kujisaidia, Ubaya unakuja mwamba mmoja mwenye ubingwa wake nae ana kopo lake kwaajili ya kukojolea😁
🤣🤣
 
Kuna mpangaji wetu alisafirigi kwenda Arusha, bahati nzuri akapata mishe kule kule. so akasema vyombo achukue mdogo wake ili tuchukue chumba. Ndani uvunguni kulikuwa na makopo kama mia hivi yote yamejaa kojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…