Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Ukweli usiosemwa wanawake wengi hushiriki heterosex kwa sababu za kiuchumi au atakapo kuzaa. Lakini kama anataka starehe ni aidha ajichue mwenyewe au atafute mwanamke mwenzake amchue(kusagana). Mbona Nanilii keshamalizana na mademu wote wakali hapo bongo movie?
 
Nanilii ndo nani mkuu mwaga tu huo mchele
 
Once wakishaanza kutafuta hisia za wawili wanao fanana jinsia wanakuja kujua kumbe naweza kuwa huru bila jamii kutugundua na hapo ndyo tatzo linaanza.
 
Mimi naongeo kama Mwanamke nakataa kabisa hii...labda uwe tu matamanio ya kutest hii kitu aisee,hakuna uhusiano wa kusagana na kuumizwa...ngoja nipate mawazo ya mtumishi Pridah Hivi ukiumizwa na mwanaume huwa unatamani Kusagana? LamomyIngu
Kutendwa isiwe kisingio.Ni ujinga wao tu kukubali kushawishiwa na marafiki wabaya.

Kwangu nikitendwa na mwanaume atakayenitoa stress ni mwanamme mwenzie.

Mwanaume ni mwanaume tu.Ile sauti yao nzito,ile harufu yao,ile misuli yao,zile command zao hata wanitende vipi siwezi kuridhishwa moyo na mwili na Ke mwenzangu.
 
Back
Top Bottom