Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Wanaume wana maudhi yao lkn tutapambana nao mpaka kielewekeKutendwa isiwe kisingio.Ni ujinga wao tu kukubali kushawishiwa na marafiki wabaya.
Kwangu nikitendwa na mwanaume atakayenitoa stress ni mwanamme mwenzie.
Mwanaume ni mwanaume tu.Ile sauti yao nzito,ile harufu yao,ile misuli yao,zile command zao hata wanitende vipi siwezi kuridhishwa moyo na mwili na Ke mwenzangu.