Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Wanaume wanachangia Kwa kiwango kikubwa wanawake kuwa wasagaji
Kadri mnavyowaumiza ndivyo wanavyozidi kukataa tamaa na wengi kufanya maamuzi mabaya kujiingiza huko.

Hata mie nishapitiwa sana na hayo mawazo.inahitaji Imani dhabiti kuendelea kusimama katika nafasi yako ukiamini ipo siku Kila kitu kitakuwa sawa.ipo siku utaolewa na kuwa na familia yako nzuri tu.
Lakini ukiwa legelege kimsimamo unajikuta huko dakika chache na ukiwa addicted ndo basi Tena.
Hiyo sio kweli hata kidogo Wanaume hatuwezi kua sababu ya wasagaji kuongezeka, usagaji unatokana na vishawishi ambavyo wahanga wanavipata na wengi wenu ni watu wa tamaa na kutamani vitu vizuri sasa akitokea wakuzingatia hivyo vitu ni kama kusukuma mlevi shimoni vile
 
Hakuna kujitetea
 
Ni kweli, usagaji upo sana.
Kuna madogo wa chuo niliwapangisha room hapa Dom, baada ya mwezi nikapewa info kuwa wanajihusisha na usagaji , tena wamevuka mipaka mpaka jamii imejua.
Nimewapiga notes , this January watafute room , wahame.
 
Hiyo sio kweli hata kidogo Wanaume hatuwezi kua sababu ya wasagaji kuongezeka, usagaji unatokana na vishawishi ambavyo wahanga wanavipata na wengi wenu ni watu wa tamaa na kutamani vitu vizuri sasa akitokea wakuzingatia hivyo vitu ni kama kusukuma mlevi shimoni vile
Hujanielewa.nimesema ni chanzo kimojawapo kinachangia.lakini sio general kwamba Kila msagaji ni WA kuumizwa,wengine kama sababu ulizotaja wapo..ama mashoga wana vyanzo vingapi mpaka unakuta kijana mzuri anakuwa shoga?
 
Kwanza Mimi sio msagani kaka.futa Hilo
Nimeongelea mojawapo ya chanzo kinachosababisha mwanamke kuingia katika usagaji
Huwezi kuongelea ya wanawake bila kuwa mwanamke Kwa maana hujui how they feel wanapotendwa mfululizo.ni kama Mimi niongelee wanaume wanavyojiskia wakitendwa,mi mwanaume?najua Ile feeling unaingia ndani kwako mfano unakuta mkeo analiwa na rafiki Ako au Kakao?siijui.
But as woman kumkuta mme wangu anamla dadangu au rafiki naijua.

We pokea mchango wangu mmojaawapo,Kwamba kutendwa kulikopitiliza kunasababisha wanawake wajikatie tamaa juu ya wanaume mwisho wanaangukia huko
Sababu dhaifu sana, kwamba mwanaume naye akisalitiwa aanze kutafuta mashoga!? Sababu ya msingi ni utandawazi. Wanawake wamemezwa na maisha ya mtandaoni so wanaiga kila wanachokiona, ukifatilia wasagaji wengi unakuta marafiki zao wakiume ni mashoga so ni aina ya maisha mtu anayochagua na hayahusiani na historia ya mahusiano yake ya zamani.
 
Back
Top Bottom