Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hupitii hekaheka kwenye mahusiano yako? Kwanini husagani? Ndo ujue hiyo siyo sababu ya msingi.Asante .Mimi sio Wala siko kwenye huo uchafu.nimeelezea tu chanzo kimojawapo.kama mwanamke naelewa.ila sisapoti huo uchafu
Sio kwamba mnakataa wanaume? .Haya JF mashahidi nifuate pm nikuoe mke wa piliWanaume wanachangia Kwa kiwango kikubwa wanawake kuwa wasagaji
Kadri mnavyowaumiza ndivyo wanavyozidi kukataa tamaa na wengi kufanya maamuzi mabaya kujiingiza huko.
Hata mie nishapitiwa sana na hayo mawazo.inahitaji Imani dhabiti kuendelea kusimama katika nafasi yako ukiamini ipo siku Kila kitu kitakuwa sawa.ipo siku utaolewa na kuwa na familia yako nzuri tu.
Lakini ukiwa legelege kimsimamo unajikuta huko dakika chache na ukiwa addicted ndo basi Tena.
Nimeshasema ni msimamo wa mtu binafsi unachangia awe imara kimaamuzi au la.mambo mengine kama makuzi ya kiroho kiimani yanachangia uimara.Wewe hupitii hekaheka kwenye mahusiano yako? Kwanini husagani? Ndo ujue hiyo siyo sababu ya msingi.
kwahiyo na wanaume mashoga nao wameumizwa sana na wanawake mpaka wakaamua kuwa mashoga?,.... hiyo sio hoja kabisaa madam,....waza kivingine?,...Unaongea kama mwanaume.ungekuwa mwanamke usingeandika haya
Shida wewe ni mwanaume na hayo yanawapata wanawake,so huwezi kuhisi vile wanavyohisi.
Bora ukae kimya
Naona umekuja kunchekesha🤣🤣Sio kwamba mnakataa wanaume? .Haya JF mashahidi nifuate pm nikuoe mke wa pili
Hatari mtu wangu, mdada anataka mwanaume tall, dark, handsome, 6ft, 6 figures, 6 packs bongo hii wanaume wa hivyo wako wangapi?Pia kuna wanawake wamejitengenezea standard fulani kwa mwonekano wao au machaguo yao yanawafanya wasitongozwe na kupelekea hiyo hali
Kwani chanzo Cha tatizo huwa ni kimoja Kwa Kila mtu?kwahiyo na wanaume mashoga nao wameumizwa sana na wanawake mpaka wakaamua kuwa mashoga?,.... hiyo sio hoja kabisaa madam,....waza kivingine?,...
🚶Hatari mtu wangu, mdada anataka mwanaume tall, dark, handsome, 6ft, 6 figures, 6 packs bongo hii wanaume wa hivyo wako wangapi?
Unakuta mdada anamtoa out/vacation expensive rafiki yake wa kike, wakati kwenye relationship yake na mwanaume, hajawahi mnunulia mwanaume wake hata biskuti ya tsh 500, unajua ni marafiki kumbe wanasagana🤔, sijui wasagaji wanapeana vitu gani adimu Hadi wanahongana, wakati wanasema wanawake nature Yao sio kuhonga, hatari mkuu Sister Abigail Sosthenes Maendeleo mzabzab DeepPond Ms R Donatila
Hakuna lolote.Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria
Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.
Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶
Wanawake kwenye mahusiano wanafurahia zaidi affection (kampani, care na huruma) na sio pesa Wala zawadi.Hatari mtu wangu, mdada anataka mwanaume tall, dark, handsome, 6ft, 6 figures, 6 packs bongo hii wanaume wa hivyo wako wangapi?
Unakuta mdada anamtoa out/vacation expensive rafiki yake wa kike, wakati kwenye relationship yake na mwanaume, hajawahi mnunulia mwanaume wake hata biskuti ya tsh 500, unajua ni marafiki kumbe wanasagana🤔, sijui wasagaji wanapeana vitu gani adimu Hadi wanahongana, wakati wanasema wanawake nature Yao sio kuhonga, hatari mkuu Sister Abigail Sosthenes Maendeleo mzabzab DeepPond Ms R Donatila
Wale achananao tuyajenge mimi na wewe kama upo seriousNaona umekuja kunchekesha🤣🤣
Vipi zile pisi ulizoshinda unazishangaa pale mlimanii city hukuambulia hata Moja sheikh?🤣
kiufupi hoja yako ni dhaifu mno na ya kitoto sana,mkuu, huwezi ukasema umekua msagaji kisa umeumizwa na wanaume,...hata mtoto mdogo atakucheka,.......mtu kuwa msagaji au shoga, hayo ni machagulio yake BINAFSI acha kunyooshea watu vidole kwenye matatizo yenu, kuweni WAWAJIBIKAJI kwenye matatizo yenu na sio kusingizia watu,.......Kwani chanzo Cha tatizo huwa ni kimoja Kwa Kila mtu?
Tatizo mnanijibu Kwa mihemko,hamsomi Ili muelewa Bali mjibu
Nimesema kimojawapo kinachochangia.so sababu zinaweza tofauti Kwa watu tofauti
Unaonekana umkasirika na jazba.haya sawa we shikilia unachoamini kama mwanaume.nami kama mwanmke ntashikilia nnachoamini.inatosha,🖐️kiufupi hoja yako ni dhaifu mno na ya kitoto sana,mkuu, huwezi ukasema umekua msagaji kisa umeumizwa na wanaume,...hata mtoto mdogo atakucheka,.......mtu kuwa msagaji au shoga, hayo ni machagulio yake BINAFSI acha kunyooshea watu vidole kwenye matatizo yenu, kuweni WAWAJIBIKAJI kwenye matatizo yenu na sio kusingizia watu,.......
Mmh ogopa sana mabinti wanaojiita BFF wanaojipost post ovyo vacation mara sijui nini mh kazi ipo hapo yaaaani ji shida sana.Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria
Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.
Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶
Hivi unazijua hizi K za toleo jipya Mkuu? Zina mengi yasiyozitosheleza.Tatizo ni wanaume wamekuwa wadhembe kupanda mlima na kufika kileleni pasipokutumia energy, power, kongo n.k.
hiyo hasira na jazba umeitumia wewe kwenye kujibu,.... ndio sababu umekuja na hoja dhaifu ya kutetea uchafu,....kwa ufupi jifunze kuwa muwajibikaji kwenye makosa yako mwenyewe na uache kusingizia WATU,.....✍️✍️Unaonekana umkasirika na jazba.haya sawa we shikilia unachoamini kama mwanaume.nami kama mwanmke ntashikilia nnachoamini.inatosha,🖐️