Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hiyo sio kweli hata kidogo Wanaume hatuwezi kua sababu ya wasagaji kuongezeka, usagaji unatokana na vishawishi ambavyo wahanga wanavipata na wengi wenu ni watu wa tamaa na kutamani vitu vizuri sasa akitokea wakuzingatia hivyo vitu ni kama kusukuma mlevi shimoni vile
 
Hakuna kujitetea
 
Ni kweli, usagaji upo sana.
Kuna madogo wa chuo niliwapangisha room hapa Dom, baada ya mwezi nikapewa info kuwa wanajihusisha na usagaji , tena wamevuka mipaka mpaka jamii imejua.
Nimewapiga notes , this January watafute room , wahame.
 
Hujanielewa.nimesema ni chanzo kimojawapo kinachangia.lakini sio general kwamba Kila msagaji ni WA kuumizwa,wengine kama sababu ulizotaja wapo..ama mashoga wana vyanzo vingapi mpaka unakuta kijana mzuri anakuwa shoga?
 
Sababu dhaifu sana, kwamba mwanaume naye akisalitiwa aanze kutafuta mashoga!? Sababu ya msingi ni utandawazi. Wanawake wamemezwa na maisha ya mtandaoni so wanaiga kila wanachokiona, ukifatilia wasagaji wengi unakuta marafiki zao wakiume ni mashoga so ni aina ya maisha mtu anayochagua na hayahusiani na historia ya mahusiano yake ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…