Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Nadhani hii tabia huwa inaanzia shuleni( boarding schools) ambapo wanafunzi WA jinsia moja wanashare kitanda wanaanza kuendekeza hii tabia ya kusagana na baadae wakuwa addicted kwayo.

Wakimaliza shule wanaingia mtaani then wanaendeleza hiyo tabia yao kwa kuwa-influence wengine.
Ni tabia Sana hakika.
 
Shida kubwa wanaume wamepungua, hapa na maanisha walio left group(mapunga) na wale wala chipsi yai nguvu hakuna, ili kufidia nafasi ndio wadada wana sagana kwa kasi , hii hali haiwezi pungua itaongezeka maradafu miaka ijayo
 
Kwahyo Muumba alikosea....!!?
 
Tatizo la wanawake ni accountability hamna. Mfano mzuri ni kauli yako kwamba wanaume ndio wanasababisha hayo, usagaji na ushoga ni wale wale jinsia tofauti, je tuilaumu jinsia gani?

Kuna mambo mengi sana, kwanza wanawake kutaka kujaribu vitu vipya, na akishashika pesa kidogo mwanaume hana dhamani tena.
Kuumizwa kupo but haichangii pakubwa kiasi hiko kama unavyodai
Utandawaz umempa mwanamke free anttetion and choice to make bila ku face madhara yake
 
Bado haujafunguka vizuri ili tuelewe zaidi ni kwa nini wanawake wanaingia kirahisi kwenye uraibu huo.

Mwaga darasa bila kubania maneno na kutuachia maswali kama riwaya.
 
Inatisha, INASIKITISHA, kuiga tu wala siyo tabia yao!
Ila tukubali, kama ushoga, hii tabia ipo toka enzi na enzi na enzi.
Hata kwetu afrika!
Hii ni tabia ya tangu zamani sema ilikuwa inafanyika kwa siri na kiwango chake kilikuwa kidogo kwa sababu jamii ilikuwa inaadhibu vikali watu wa aina hii. Sasa hivi kuna utandawazi na watu wanajua haki zao. Ila kwa Bongo ulimbukeni nao unachangia. Kuna baadhi ya kina dada wanaona ni kama fashion au u-kisasa na wanatumia hili jambo ili kuvuta watu wa kufuatilia maisha yao hasa kwenye social media.
 
Shida kubwa inaanzia kwenye hizi media na pia filamu(movies na series za sasa) ambazo zinakuza huo uchafu(usagaji) kwa kasi.
Sasa wadada nao wanataka wapate mjarab kutoka kwenye hayo maigizo ,ndipo wanapoanza kujihusisha na hupelekea kuwa chronic effect.

Filamu nyingi sikuizi huwezi kosa ushoga au usagaji humo ndani ambapo inakuja kuonekana kuwa hicho kitendo ni cha kawaida kufanyika katika jamii.
 
Wanawake kama kawaida yenu.

Wanaume ndiyo kisababishi cha nyie kuwa lesbo?

Ila wanaume ndiyo sababishi ya wao wenyewe kuwa mashoga kwasababu wanaogopa uwajibikaji. Wanawake kubalini kuwa responsible mazee.....
 
Madam, ndio mana mnapenda kuitana "baby", "mpenzi" na majina mengine kama haya eeh!!
 
Ehh uko deep mkuu
 
Huu ni mkakati filamu yeyote ya kizungu lazima wanaume waonyeshe ishara ya ushoga na wanawake waonyeshe ishara ya kusagana, hakika shetani yupo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…