Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.
Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.
Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.
Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.