To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ajabu kweli yaan🙌Yapo hata mjini haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu kweli yaan🙌Yapo hata mjini haya
Mmmh [emoji1785][emoji2961]Bas wewe hujaexperience mambo cute....mikono iliyotoka kushika dudu inanukia njema kweli...usiwe unafuta.Karibu tule popcorn [emoji897] mom[emoji2960]
Angalia na hili.Ashaliwa huyo tayar... That means wale wa mwanzo walivyo mfanyia hivyo wakafanikiwa kumla, waka tangazia wengine kwamba mzungu ni mama huruma hana baya ukimkuna tu utamla....
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.
Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.
Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.
Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Mkuu Sasa umeandika nini? Haya badilikeni basi.Sasa wewe unageneralise wanaume wote badala ya kuwaambia hao waliofanya hicho kitendo? Ni vizuri ukaanza kubadilika wewe maana maelezo yako yanaonesha kuwa wewe pia unatabia hiyo ndo maana usema tubadilikeni
🤣🤣🤣Una kinyaa kweli yaan......unaweza tawaza mtoto nikugaie mmoja na wako wawe Wawili?Mmmh [emoji1785][emoji2961]
Feminism and lesbianism at its best.Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.
Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.
Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.
Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Yani alishangaa sana. Na jamaa yake akuwaficha waliomkuna mkono kwasababu mtasha alimueleza wote. Na atasimulia sana. Na huyu mtasha kasafiri Dubai, Qatar na misri anadai wanaume wa misri nao wanasumbua sumbua sana watalii wanawake hadi wana feel uncomfortable. Lakini anawasifia sana wanaume wa emirati na Dubei na Qatar jinsi walivyo na heshima wakiwa na wanawake.Kwa hiyo Mtasha kawasilimulia kakunwa mkono...daah
Jaman,mbona umemrukia na huyu tena? Huyu dada mstaarabu sana mbona.daaFeminism and lesbianism at its best.
Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.
Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe..
Hujaona alivyotupondea wanaume? Kwani asingeeleweka kwa kusema hapendi kushikwa mikono kwa kuhofia uchafu? Kulikuwa na sababu ya kuhusisha kushika dudu?Jaman,mbona umemrukia na huyu tena? Huyu dada mstaarabu sana mbona.daa
DuhNilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Hilo demu ni lisagajiFeminism and lesbianism at its best.
Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.
Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe.
Lisagaji ndiyo tena linajisifu, pitia humuHilo demu ni lisagaji
Hua hau suck ww?!Mmmh [emoji1785][emoji2961]