Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

😆😆😆😆 demu wa kizungu😆😆😆😆 hao tunawaita wazungu kichaa mkorogo wa mavi na matope
 
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.

Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.

Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.

Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.

Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.

Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.

Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.

Huo utaratibu wa mzungu kupeana mkono alifundishwa na nani.
Mi nijiavyo hao watu hawana desturi hiyo
 
Hapo kinyeo kinakuwasha unatamani hata kuniazima dildo, sema tu sina chukua gunzi mwaya ujikune [emoji2960]
Kinyeo kinakuwasha wewe ambaye kutwa kutamani mbususu za wanawake wenzio.

Vya wenzio vinapendeza, chako kimekakamaa kama mgambo aliyebanwa na kiharo. Ndiyo maana hakuna mwanaume anakitamani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole.....mi anaita kabisa mama njoo unitawazee! Si utakimbia wewe
Siwezi kukimbia dear,
Nitamnawisha vizuri tu ila nikitoka hapo nanawa sana na sabuni, napaka na hand cream,
Nina tatizo la harufu mpenzi, yaan hata ile harufu ya jasho kwangu hua nahisi kuzimia.
 
Daaah ninamna ya kumtongoza mwanamke pia. Kama uliona sound ngumu. In Carry ujumbe Fulani. Wakati nasoma form Five Sumbawanga nilikuwa natumia njia hii kumtongoza demu.
 
Kinyeo kinakuwasha wewe ambaye kutwa kutamani mbususu za wanawake wenzio.

Vya wenzio vinapendeza, chako kimekakamaa kama mgambo aliyebanwa na kiharo. Ndiyo maana hakuna mwanaume anakitamani.
Endelea kupakuliwa usije ukaona nakuzibia rikzi bureee,

Tikisa kalio mabasha wakuone
 
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Mama kinyaa 😂😂
Umenikumbusha siku ileeeeee🏃
 
Endelea kupakuliwa usije ukaona nakuzibia rikzi bureee,

Tikisa kalio mabasha wakuone
Wewe katafute Warembo uwatongoze. Huna soko la kutongozwa, na hakuna wa kujaribu kukulala.

Kajidai dume usagane na wenzako. Huna tako, huna sura na umekaukiana. Huna budi kuwa msagaji.
 
Feminism and lesbianism at its best.

Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.

Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe.
Dada mbona umepanic sana!
Ametajwa mumeo?
 
Tabia mbaya sana....
Alafu wengine mibaba mijitu mizima kabisa, sema ndy hivyo tena akili kisodaaaa
 
Back
Top Bottom