Hii tabia ya wanawake wa siku hizi kupenda uke wenza inasababishwa na nini?

Dah rekebisha kaka kabla mambo hayajawa mengi

Nikuibie siri huku kwa sisi tunaolala wenyewe kama mwichi unadhani kuna lolote basi ni mwendo wa kuota tunakimbizwa mara tunapigwa fimbo usiku kucha ila ndiyo vile tutaemweleza nani wakati tuliyataka wenyewe ?

Hizi story za sasa hivi siulizwa mara narudi muda ninaoutaka ni kukseha bar muda mwingine na pocket inakuwa haijanona ila sasa tunarudi nyumbani ili ulale tukapigwe na wachawi ndugu ?

Ndiyo maana ukiona asubhi yeyote aliye single anaomba hela ya nauli arudi nyumbani ikiwa huko vizuri toa tu kaka ,tunapitia mengi .

Rekebishq na shemeji mitala na michepuko sio dili kabisa .
 
Asante sanaaaaaa ndugu, kaka mkubwa najua umenipa uzoefu wako mkubwa

MICHEPUKO sio deal hasa unapo hatarisha usalama wa ndoa nimechukua kwa mikono miwili now ushaur wako
 
Mambo ya zuchu hayooo....
Hata mimi wamejipanga kwangu wapo watano 😁😁😁
 
 
Asante sanaaaaaa ndugu, kaka mkubwa najua umenipa uzoefu wako mkubwa

MICHEPUKO sio deal hasa unapo hatarisha usalama wa ndoa nimechukua kwa mikono miwili now ushaur wako
Chukua ushauri huo kaka ,ikiwa mambo hayaeleweki kabisa tia 🚫 huyo shemeji mchepuko .

Kaa na shemeji maana kila kitu kiko wazi eleza uhalisia ,omba msamaha ,jishushe bro ,kuachana na mkeo aliyekuwa anakuheshimu huwezi tobaoa kumpata wa hivyo tena nakueleza .

Jishushe yajengeni ,ita hata wazee wa makamo myamalize ila sqsa jikaze hata mwaka usiendelee na michepuko ,unaharibu soon ukisema uache mambo yajiendee yenyewe .

Wanawake wameumbiwa kuzungumza mpe muda akutukane ,akuseme na huo muda sema neno usikae kimya ,akitukana sema mama nilikosea ,mama nisamehe ,mama tuqnze upya naapa kuacha ila akizingumza ukanpa sura mdomo ukatia gundi nakuhakikishia unakuja huku kaka soon na mimi huku sikushauri mwenzio nimepachoka ila ndiyo vile kichwa changu bado kina mawenge ila kikiwa sawa shemeji yako nitakutambulisha na yupo hapa hapa jamvini
 
Hii nzuriii nimeipenda imekaa vyema kabisa

Kweli tenaa nafuata ushaur wako maana naamini ushaur mzurii sio rahisi kuupata hasa kwa mswahili

Shukrani sanaa brother kwa moyo mkunjufu na ku share hii experience nzuriii sanaa sanaa ya upendo na kunipa haya madini
 
Wewe ni very nini mkuu?
Na una kimamda 🀣
Kama unakubali umepata mke basi unaweza jiweka ulivokuwaga ili mkeo akuamini hapo ni pamoja na kumuacha huyo dada ambae hana wivu kwa mkeo.
 
Wewe ni very nini mkuu?
Na una kimamda 🀣
Kama unakubali umepata mke basi unaweza jiweka ulivokuwaga ili mkeo akuamini hapo ni pamoja na kumuacha huyo dada ambae hana wivu kwa mkeo.
Ntamwacha taratibu taratibu maana Kuna occasion moja nilimuona anachomoa nyuzii kwenye boksa 🀣🀣

Kwaio sio wa kumwacha gafla asije akachomoa betri ni modo mdo mawasiliano mpaka mna achana for sure.

Hakana kitu naogopaga maishani kama kuja kua MTU WA HOVYO HOVYO ( yaani vitu nilivyo vipambania maishani vika be ruined)
 
Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote
Na kweli, hata kama mwanaume umeajiriwa, kuhudumia mwanamke si mchezo, umlipie mtu kodi ya chumba, bills, pengine ada, apo bado mahari, cost za harusi, kipindi mpo wote kwenye long term relationship, ndo maana wanaume wengi wanaishia kununua maafisa utamu😁. Watu8
 
Hatari sana hiyo! Vijana/wanaume waache kupiga mbichi/bila kinga wala tahadhari.Kama ni kwa maamuzi yao wakiwa na akili timamu,basi maamuzi yao yaheshimiwe na waoe tu.
 
Hatari sana hiyo! Vijana/wanaume waache kupiga mbichi/bila kinga wala tahadhari.Kama ni kwa maamuzi yao wakiwa na akili timamu,basi maamuzi yao yaheshimiwe na waoe tu.
Shida mwanamke anakuaminisha niko siku salama we enjoy kumbe amekutegeshea. Na kikitokea cha kutokea ndo utajua hujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida mwanamke anakuaminisha niko siku salama we enjoy kumbe amekutegeshea. Na kikitokea cha kutokea ndo utajua hujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiingia mkenge lazima unyooshwe na kutangaziwa kwamba una aleji na kondomu.Ila maisha haya tunaviziana mnoo hadi tunatetemeka roho na miili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…