Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

Huyu si mwengine, bali ni PhD holder kutokea Chato 😍
 
Ngoja waje Nyumbu wa Ufipa!
 
Hizo Story tu Mkuu,hakuna utawala usio ua,kuna criminals ambao ni lazima uwamalize ili nchi itulie.
Ata wewe ukipewa Urais na kuna criminals mbele Yako ambao wanakuwekea Giza,uta dili nao tu,hamna namna.
Serikali haiwezi kuangaika na mtu ambaye hana madhara kwa usalama wa nchi na ndiyo maana unapopewa uongozi unakula kiapo!
 
Waafrika wengi wana uwezo mdogo sana wakufikiri. Absract reasoning inawasumbua sana. Uwezo wetu wa kifkra upo katika vitu vinavyoonekana Kwa macho, pasipo kujua kuwa hivi vinavyoonekana Kwa macho ni kivuli cha vitu halisi visivyoonekana.

Siasa za watu weusi hujikita katika kushabikia watu na Wala siyo sera na mipango. Ndio maana watu wetu ni rahisi sana kushabikia nani kajenga nini bila kujali fiscal responsibility. Watu wetu wanaweza kushabikia madaraja na barabara ,kuliko umoja wa kitaifa maana uwezo wao upo katika vitu vya kuonekana.

Sikilizeni nyie wajinga, historia huwakumbuka watu wema walioleta fikra chanya juu ya maisha ya watu. Historia huwakumbuka watu wenye mawazo yanayoponya nafsi zilizovunjika.

Historia , hajawahi kuwakumbuka watu waliojenga magorofa huku watu hao wakisababisha kilio miongoni mwa watu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hivi hayo yote hayawezi kutokea hadi upoteze watu kwa sababu tu wana mawazo tofuati na yako! Wewe nani hadi ujione wewe tu ndiye mwenye mawazo sahihi na hutaki kukosolewa na yeyote.
Hizo ni protocol za kiusalama,na ndiyo maana ata CIA walimuua Rais John Kennedy kwasababu alikwenda kinyume na kiapo.Sasa sembuse wewe Mwayangumwayangu ulete ngebe Dola likuache.
 
Sawa mkurugenzi wa usalama.
 
Hizo ni protocol za kiusalama,na ndiyo maana ata CIA walimuua Rais John Kennedy kwasababu alikwenda kinyume na kiapo.Sasa sembuse wewe Mwayangumwayangu ulete ngebe Dola likuache.
Lilikuwa na roho mbaya tu kwani hiyo dola kaanza kuiongoza yeye mbona huko nyuma na hata sasa hatukusikia matukio ya watu kupotea ovyo ovyo ama kuokotwa maiti za watu kwenye viroba kila kukicha.
 
Magufuli ni Genius asiye mnafiki. Asante sana mungu kwa maisha ya Magufuli umetuonyesha kwa nini Tanzania hatupigi hatua mbele.
 
Acheni kumsakama hajawahi kuwaomba kuwa Rais
 
Yes... Kiongozi unang'ang'ania vichwa panzi kwenye baraza la mawaziri maana wameombewa na godfather. Inaonyesha mwenyewe huna uwezo imetokea kwa bahati mbaya tu. Itakapofika muda litendee taifa wema kwa kuhakikisha tunapata mtu wa kutuvusha.
 
JPM alifanya mengi lakini hayupo tena, amebakia kusomwa kama somo la historia linavyosomwa vitabuni.

Kosa letu ni kutaka huyu wa sasa na yeye awe kama JPM kwa vigezo alivyokuwa navyo hayati. Kila nafsi inayo mema na mabaya yake.

Alichopewa SSH hakupewa JPM na kinyume chake ni ukweli pia. Hivyo tupunguze hizi dhana kuwa kesho ina haki ya kufanana mia kwa mia na leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…