Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

Hata kama uzembe umekuwepo kabla, lakini anayejitokeza kuuondoa kwa vitendo lazima apongezwe, na ni ajabu sana kutowashangaa wale wanaokumbatia huo uzembe kwa sababu wameukuta ukiwepo tangu kabla, hapa nawe ukiwa mmoja wao.
Kaka unajua biashara ngapi zimekufa kule Arusha katika awamu ya tano kwa kisingizio cha kupambana na huo uzembe?.

Awamu ya tano licha ya kutekeleza miradi mikubwa, kuna akili fulani ya utendaji kazi ilikuwa inapungua.
 
Mpaka sasa Tanzania haiwezi unda kijoko kwa mitambo ya wazawa.
Kualika warabu waje wajenge bwawa la umeme ni u-geneus. Muwe serious kidogo.
Kama huyu ni geneus raisi wa China atakuwa nani?
 
Wenye akili ya kuku hawajui kuwa wazo la umeme wa Stieglers Gorge lipo hata kabla ya uhuru.
Mwalimu alisha anza kuliweka kwenye bajeti kwa kuanzisha RUBADA.
Utoto nao mzigo.
Wewe jidula mabambasi,unajulikana wazi,wewe ni wakili wa shetani,ktk umri wako wewe,hujawahi kimpenda mtu mwadilifu.
 
Kaka unajua biashara ngapi zimekufa kule Arusha katika awamu ya tano kwa kisingizio cha kupambana na huo uzembe?.

Awamu ya tano licha ya kutekeleza miradi mikubwa, kuna akili fulani ya utendaji kazi ilikuwa inapungua.
Usitake kunidanganya Royal Tour imekuwa na mafanikio wakati hakuna chochote kilichobadilika huko Arusha, zile propaganda za kusema wageni wameongezeka zimejifia kifo cha mende.

Muhimu hapa tutajiwe mfadhili tumjue..
 
Magufuli alikuwa ni akili Kubwa.

Kiongozi mzuri ni yule anayefanya maamuzi siyo kuwa na mpango tu kwenye makabrasha.

Wazo bila uthubutu halina maana. JPM ni next level

Tukubali tu yule baba alikua nabii
 
Wewe jidula mabambasi,unajulikana wazi,wewe ni wakili wa shetani,ktk umri wako wewe,hujawahi kimpenda mtu mwadilifu.
Na wewe mwenye akili za kuku , uliyembeba Ibilisi muuaji mgongoni, hujui hata uadilifu ni nini.
Maana mwizi wa Trilioni 1.5 kwako ni malaika.
 
Hii ni kanuni mojawapo kwenye kanuni 48 za kutawala... Ukweli mchungu sana huu.
 
Hizo ni protocol za kiusalama,na ndiyo maana ata CIA walimuua Rais John Kennedy kwasababu alikwenda kinyume na kiapo.Sasa sembuse wewe Mwayangumwayangu ulete ngebe Dola likuache.
Kwamba CIA walimuua jfk?[emoji848] Sikupingi ila hii ni Moja ya unsolved conspiracy theory.
 
Wenye akili ya kuku hawajui kuwa wazo la umeme wa Stieglers Gorge lipo hata kabla ya uhuru.
Mwalimu alisha anza kuliweka kwenye bajeti kwa kuanzisha RUBADA.
Utoto nao mzigo.
Kwani halikutekelezwa kwa miaka yote hiyo au halikuwa na umuhimu?
 
Ameiba fedha nyingi mno kwa mgongo wa miradi.
Akaipeleka wapi ili tukachukue maana mwenyewe kafariki hivyo hakuna wa kuzuia, uwizi ni kosa la jinai na jinai halifi
 
Hivi hayo yote hayawezi kutokea hadi upoteze watu kwa sababu tu wana mawazo tofuati na yako! Wewe nani hadi ujione wewe tu ndiye mwenye mawazo sahihi na hutaki kukosolewa na yeyote.
Hata kwenye nchi mnazosifia kuhubiri demokrasia zinaongoza kuua, chukulia marekani inaua wangapi. Vile vile unadhani wale walionyang,anywa tonge mdomoni hawezi kufanya matukio kama hayo ili kuharibu taswira ya yule aliyenyang'anya.Je hapakuwa na mauaji kabla ya Magufuli kuingia?
 
kwa hiyo mfu wako anaijenga akiwa kaburini? Wapumbavu ni wapumbavu tu, kila siku kumwongelea mfu anayetumikia adhabu ya kaburi. Mmeishiwa kichwani mpaka basi. Anayejenga uo mradi ni Samia Suluhu Hassan we ngedere
Aliukuta ujenzi ukiwa kwenye asilimia ngapi, ni mradi gani mkubwa aliouanzisha yeye tangu aingie au hakuna miradi mikubwa mingine inayohitaji
 
Usitake kunidanganya Royal Tour imekuwa na mafanikio wakati hakuna chochote kilichobadilika huko Arusha, zile propaganda za kusema wageni wameongezeka zimejifia kifo cha mende.

Muhimu hapa tutajiwe mfadhili tumjue..
Uliwahi kuwaulizia wafadhali wa awamu ya tano licha ya miradi mingi kuanzishwa na kuonekana kufanikiwa?.

Punguza kuishi na chuki zisizo na sababu.
 
Hujui historia ya Bwawa la nyerere wewe plan zake zimeanza.... 1928 na waingereza kabla hata ya Magufuli hajazaliwa, unajua kwanini paliitwa Stigler gorge ?? Au unampigia marehemu mapambio tu
 
Uliwahi kuwaulizia wafadhali wa awamu ya tano licha ya miradi mingi kuanzishwa na kuonekana kufanikiwa?.

Punguza kuishi na chuki zisizo na sababu.
Kumbe hujielewi, kukwambia ututajie mdhamini wa Royal Tour ndio chuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ok basi, wewe baki na mahaba yako🫣🫣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…