Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Tumpe pesa Chama, Manula, Inonga na Kapombe kesho wawaingizie pesa bank za kuvunja mkataba bila kukutana na uongozi wa Simba? Mtakubali au umevimbiwa maharage Sasa unajambajamba tu?Mpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.
Kuna kipengele cha kuvunja mkataba na kinaelezea namna ya kuvunja mkataba kama kipo na mchezaji akataka kuvunja mkataba mimi sioni kosa lake. Nilivyosikia kwenye kipengele cha kuvunja mkataba unatakiwa ulipe 100 milion. Sasa Yanga hawataki wanataka Feisal abaki kucheza.
Morrison naye mliandama mpaka sijui wapi, wachezaji wanataka masilahi (pesa)
We naye hujui ulichoandika... 'mkataba unaboresha pale unapoongeza mkataba' umeelewa hii sentensi???Kama akili zako zinafanyakazi mkataba unaboreshwa pale unapoongeza mkataba mpya, unapewa muda wa kusoma mkataba na kunegotiate, msiongee vitu kimihemko badala ya fact.
Feisal alisaini mkataba mpya that means alikubaliana nao.
Aziz Ki na mama yake walikaa hotelini zaidi ya wiki walikuwa bado hawajakubalina vipengere mpaka walipoelewa ndio akasaini mkataba.
Acheni uswahili uswahili.
Wewe umeshalewa mbege na nguruwe huna unachokijuwa.We naye hujui ulichoandika... 'mkataba unaboresha pale unapoongeza mkataba' umeelewa hii sentensi???
Weka hapa huo mkataba wote wa Feitoto tuuone woteMpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.