HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

Mpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.
Kuna kipengele cha kuvunja mkataba na kinaelezea namna ya kuvunja mkataba kama kipo na mchezaji akataka kuvunja mkataba mimi sioni kosa lake. Nilivyosikia kwenye kipengele cha kuvunja mkataba unatakiwa ulipe 100 milion. Sasa Yanga hawataki wanataka Feisal abaki kucheza.
Morrison naye mliandama mpaka sijui wapi, wachezaji wanataka masilahi (pesa)
Tumpe pesa Chama, Manula, Inonga na Kapombe kesho wawaingizie pesa bank za kuvunja mkataba bila kukutana na uongozi wa Simba? Mtakubali au umevimbiwa maharage Sasa unajambajamba tu?
 
Kama akili zako zinafanyakazi mkataba unaboreshwa pale unapoongeza mkataba mpya, unapewa muda wa kusoma mkataba na kunegotiate, msiongee vitu kimihemko badala ya fact.

Feisal alisaini mkataba mpya that means alikubaliana nao.

Aziz Ki na mama yake walikaa hotelini zaidi ya wiki walikuwa bado hawajakubalina vipengere mpaka walipoelewa ndio akasaini mkataba.

Acheni uswahili uswahili.
We naye hujui ulichoandika... 'mkataba unaboresha pale unapoongeza mkataba' umeelewa hii sentensi???
 
Mpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.
Kuna kipengele cha kuvunja mkataba na kinaelezea namna ya kuvunja mkataba kama kipo na mchezaji akataka kuvunja mkataba mimi sioni kosa lake. Nilivyosikia kwenye kipengele cha kuvunja mkataba unatakiwa ulipe 100 milion. Sasa Yanga hawataki wanataka Feisal abaki kucheza.
Morrison naye mliandama mpaka sijui wapi, wachezaji wanataka masilahi (pesa)
Weka hapa huo mkataba wote wa Feitoto tuuone wote
 
Kwisha habari yao wakamtafutie timu ya kucheza sasa maana wamemjaza ujinga wapambe nuksi nae akajaa kama puto, uamuzi ni wake kuendelea kukipiga yanga ama auzwe nje ya nchi na sio Tanzania, unapomwaga mboga wenzako wanamwaga ugali
 
Back
Top Bottom