Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Wewe ndio umetafsiri kipuuzi... Hakuna mahali amemaanisha anataka kupiga picha na Rais ili kumringishia mpenzi eti sababu ya uanamke wa Rais. No way acha ujinga. Anaomba kupiga sababu na mamlaka ya utaasisi wa rais, ili mpenzi wake ajue jamaa kwa sasa yupo juu au kimjini mjini ni system.. Umeelewa we tikiti... Tumpe heshima Rais wetu wakati mwingine.
 
Stress, chuki na husda zitawauwa vijana.

Don't take life too seriously!
Wala kulalamika na Mikwara kama ya Lissu Sio dalili ya uongozi bora!

Lazima kuwepo na light moments!
Kwahiyo mkuu unasema jamaa angesema Mh. Rais naomba nikushike kiuno ili nimkomeshe mke wangu ananikataza kushika kiuno chake wewe kwako ungechukulia poa tu.

Kwenye comedy wewe unapimaje dhamira ya mzungumzaji kama analengo lingine tofauti na kuchekesha? Kila kitu kina limit regardless ya sehemu.
 
Angalia akili za Vijana wa kitanzania, hapa ndio umejipinda weeeeee. Haya next time kuna Watu watajitokeza wapige picha na wazazi wao ili wakawarinishie ma-ex zao
 
Hadhi ya urais wa nchi unashuka sana kila kitu rais du aibu kubwa sana ni kama vile tumerogwa vile sijui tutafika salama kama nchi yenye chawa wengi sana
 
Sioni cha ajabu, kwasababu context (event yenyewe) ni sahihi. Material ya comedian ni vyote vinavyomzunguka! Hata Rais wa Marekani hugeuka kuwa comedian siku ya annual White House Correspondents' Dinner!
 
Na huyo aliyekubali ana lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…