Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Tukio linasadifu maudhui ya mchekeshaji . Hiyo comedy na huyo comedian anaposema ex wake alimkomoa haishi Bali anamaanisha ucheshi...Acheni kufunga ndimu
 
Hiyo ni comedy show, sasa ulitegemea Rais hasitaniwe ndugu ?!

Cha msingi hapo Rais kuepuka mialiko ya aina hiyo,kwasababu vijana wengi wahusika/comedian ni watoto wa mtaani, kwahyo hata uwezo wao wakutafsiri issue ya protokali ni mdogo sana.
 

Wala haina shida, we sometimes entertain Children! Huyo Dogo ni mtoto, Kuna shida gani kumpa anachotaka? Inamdhuru nani?
 
Na ungana na wewe mkuu pale lilikua jukwaa la comedy Mbona inaeleweka..

NB.
Binadamu bwana UNAWEZA kuwa unaogelea wenzako wakakwambia unawatimulia vumbi.
 
Mama anaubonda mwingi hadi unamiminika
 
Nikuulize tu kwa mfano , live stream ya hilo tukio kwenye social media lilifikia watu wangapi?
Mkuu hilo tukio lilirushwa na TV za bure.
Sasa TV zipo hadi vijijini, pia comedy video clips sasa zimejaa kwenye simu za vitochi huwezi amini.
Nakuwa vijijini muda mrefu nawaona wazee vijana na watoto waume kwa wake wana vichekesho kwenye simu.
Ndiyo starehe yao.
Nina uhakika baada ya juma moja utamuona Samia kwenye simu vitochi kila kona.
Acheni hizo fikra za watu wengi wa mjini na wanaojihisi wasomi. Ni utopian thinking alizosema Pascal Mayalla kwenye thread yake leo. Mnafikiri mnavyo waza ninyi ndivyo wote wanawaza hivyo. Huko vijijini kuna mabadiliko sana ya matumizi ya teknolojia.
Huko hawawezi kupakua(download) hotuba za kisiasa za no reforms no election. Wanataka vitu vidogo vidogo vya kuwafurahisha na kuburudisha Kama vichekesho na nyimbo za bongo Flava.
Wabunifu watumie humo humo kufikisha ujumbe au kupenyeza agenda zao.

Utayajua haya ukiwekeza kwenye tafiti rasmi siyo hisia. Kuna tools zote Sasa hivi kukusanya taarifa sahihi. Fanyeni analysis kutumia tools za Business Intelligence.
Nina uhakika CCM wame consult watu wakashauriwa kutumia hizo platform. Social media, social events, e.t.c.

Note: Mimi siyo mwanasiasa, si mwajiriwa wa serikali, I was just stating the obvious.
 
CC: Pascal Mayalla
 
Msitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
 
Msitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
Narudia tena kama na wewe ni mshauri kwenye jopo la huyo mama basi mnastahili adhabu na kifungo jela kwa matumizi mabaya ya ofisi.
 


..halafu ikifika wakati wa Uchaguzi DOLA inaingia kazini.

..tafiti unazosema kuwa zinafanyika ni fursa tu za watu kupiga pesa za CCM.

..mabango, matangazo, wasanii, kushiriki kampeni nayo ni fursa.

..wanaotumainiwa kuwapa CCM ushindi na vyombo vya DOLA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…