PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
14,241
Reaction score
40,752
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.


View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en

===
 
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (vacuum cleaner) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.


View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en

===
View attachment 3511837

Anamsimanga
 
1764705572529.jpg
 
Je anamaanisha nguvu kubwa inatumika kutafuta suluhu ya tatizo na baada ya kushindwa inaamuliwa kulificha tatizo na huku ulimwengu unaona na kushangaa kuwa mbona mkono ungetumika tatizo lingeondoka ndani ya muda mfupi bila gharama yeyote.
 
Back
Top Bottom