Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Asikusumbue huyo shoga ..mtoto Mdogo sana huyoActive Moderator Paw Maxence Melo tunaomba kwa dhati kabisa na kwa unyenyekevu mfute ID ya huyu member. Thihaka yake dhidi ya wahanga wa maandamano iko nje ya ubinadamu. Mkiendelea kumwacha huyu kuendelea kuwadhalilisha marehemu na wahanga tutahesabu na nyie ni sehemu ya watesi wa wahanga.