PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Swali rahisi
Kati ya Samuya na raia ni nani anajaribu kuficha alichokifanya?
Kwa sababu raia walioharibu mali za watu japo si sahihi kufanya uharibifu ila bado walizipost wao wenyewe mtandaoni, hawakuficha kitu. Kwa nini Samuya anaficha watu aliowaua
Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.

Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.
 
markup_1000203681.png
 
Na kanisani kwa GWAJIMA waliharibu
Swali rahisi
Kati ya Samuya na raia ni nani anajaribu kuficha alichokifanya?
Kwa sababu raia walioharibu mali za watu japo si sahihi kufanya uharibifu ila bado walizipost wao wenyewe mtandaoni, hawakuficha kitu. Kwa nini Samuya anaficha watu aliowaua
waandamanaji na kuiba pesa? Za kanisa? Mbona hao hamuwataji ili Hali wao ndo walikua wanapalinda
 
Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.

Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.
Ila Lucha si unakumbuka mwanzo ulisema haupo upande wowote, yani haupo upande wa CCM wala wa raia wanaopinga utawala wa sasa, na ukasema Watanzania ni nyumbu kwa sababu ni waoga.
Nini kimetokea tena, mbona sasahivi umeactivate CCM mode kwa 100% na bado unawaita Watanzania nyumbu licha ya kuwa waliandamana bila uoga?
 
Ingawa anajifanya kuwa Kuna kushuka na kupanda, mtu kutolewa utamu ama ulaji usipime bana, anajifanya anapost neno la Mungu kwa akili zake Ila moyo wake hakubaliani na Hilo. Siku hizi Kuna wanafiki wengi wanapost jumbe za Mungu mara upendo kumbe ndani ya mioyo sio sawa na sauti zao
 
Swali la Msingi
Ila pia nami nina wasiwasi mahusiano ya bi Who are you? Na hawa watu
1. EX- VP
2.EX-PM
3.EX- DPM
4. EX-Speakers ( Bi Mkola n late Ndugai)
5.Hili la VP niliache kwanza
EX DPM na EXS wanapaswa achia ubunge maana wamedharirishwa haswa
 
Anakumbuka upuuzi wake wakati ni incharge wa Rubber Stamping Incorporated....; Nguvu nyingi bila maarifa
  • Issue za bandari
  • Kutanganza Tangazo la tangazo kuliko Tangazo lenyewe (Royal Tour)
  • Kumpiga Jungu mwenzao aliyesema wanakopa kama hawana akili ; akaingia yeye na kukubaliana na kila upuuzi
  • Kumpiga Jungu Mpina issue ya Sukari....
Tukirudi kwenye video kitu cha kuokata kwa mkono kimem-cost yeye muda na mwajiri wake Unit za Umeme za kutosha kwa kuwasha hio Blower (kama vile huko mjengoni na pengine wanavyofuja kodi zetu sisi tuliowaajiri)

NB: Upuuzi waliozika utalicost taifa milele na milele
 
TBC wana kipindi cha tafakuri baada ya habari, baada ya JPM kufariki, kwenye hicho kipindi cha tafakuri wakamsema jamaa amekufa kutokana na kushindwa kuchukua maamuzi madogo mno.

Alichofanya Tulia, amefanya kama TBC walivyofanya wakati huo.
 
Tafsiri zipo nyingi hasa kwenye mavyeo yao wanayotumbuana!

Angestaafu kwa heshima na upendo bila kujeruhi mioyo ya waTz kwenye utumishi wake, tungelishea naye kwa furaha.

Anajisogezaje kwenye jamii iliyonuna?

Nadhani huyu ni msomi asiyeelimika, ni wa kupuuza kwa kila jambo analolianzisha, jamii tushikamane kumkataa.
Kwa ufupi amefanya Wazanzibar wachukiwe
 
Hivi ingekuaje Makamu Songea,Spika Mbeya.yaani karibu karibu.
 
Inamaanisha Nyumbu wezi na waharibifu wa mali wanajaribu kuficha uchafu wao wa wizi na uharibifu wa mali kwa kisingizio yalikua maandamano ya amani wakiamini unyumbu walioufanya hautaonekana
Active Moderator Paw Maxence Melo tunaomba kwa dhati kabisa na kwa unyenyekevu mfute ID ya huyu member. Thihaka yake dhidi ya wahanga wa maandamano iko nje ya ubinadamu. Mkiendelea kumwacha huyu kuendelea kuwadhalilisha marehemu na wahanga tutahesabu na nyie ni sehemu ya watesi wa wahanga.
 
Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.

Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.
POS alt PA.
 
Back
Top Bottom