MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Huyu kumnyima uspika hakukumtosha.... watamfukuza chama kabisa 😂 😂 😂 😂
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.
View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en
===
View attachment 3511837
Alidukuliwa InasemekanaHivi Betina alibugi wapi? Mbona alikuwa Mwashambwa mzuri tu!!
Yeye hajawahi kutumia akili hata siku moja. Tena ndiyo mshenzi kweli kweli.
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.
View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en
===
View attachment 3511837
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.
View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en
===
View attachment 3511837
Usijali, ni kuelimishana tuu ili wote tuweze kuielewa video ya huyu mheshimiwa wa zamani.Shukrani mkuu ndio nimejua leo kuna hiyo kitu si unajua tena changamoto uswazi
Hakuwa Mwashambwa, yule Sukuma gang na pia alionekana kama ni threat kwa wanaosafishiwa barabara hawa akina Al-Shabaab.Hivi Betina alibugi wapi? Mbona alikuwa Mwashambwa mzuri tu!!
Ref: Polepole.Wakimteka watamrudisha ? Hiyo inaweza kuwa tiketi ya kuzimu🐼
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila mafanikio na mwisho wake kuamua kulifunika na mawe baadala ya kulitoa kwa njia sahihi.
View: https://www.instagram.com/tulia.ackson/reel/DR3mJUtCJ5c/?hl=en
===
View attachment 3511837
Swali rahisiInamaanisha Nyumbu wezi na waharibifu wa mali wanajaribu kuficha uchafu wao wa wizi na uharibifu wa mali kwa kisingizio yalikua maandamano ya amani wakiamini unyumbu walioufanya hautaonekana
Apunguze spidi, akianza kumgusa Rostam tuu, ameisha.Wakimteka watamrudisha ? Hiyo inaweza kuwa tiketi ya kuzimu🐼