Anazuga tu atapewa kazi nyingine, serikalini kuna mavyeo mengiHivi Betina alibugi wapi? Mbona alikuwa Mwashambwa mzuri tu!!
Mke mdogo wa Abdul weweSipo upande wa majizi ya Ccm wala sipo upande wa nyumbu, ila nyumbu wanajifanya wao ni wema na wameonewa kwamba walikua kwenye maandamano ya amani wakati ni majizi yalioiba na kuharibu mali za watu kwahiyo lazima niseme nyumbu walistahili kuuwawa vinginevyo wangechoma nchi yote
Daah!Huyo jamaa Anafukia Nini maiti za wahaini ????
'Mavyeo mengi' si kweli!Anazuga tu atapewa kazi nyingine, serikalini kuna mavyeo mengi
By Jpm
Dogo mnamtandika kwenye mshono, kuweni na huruma kidogo huyo kapewa kazi hiyo Lumumba awe anajipatia vifungu vya dagaa.
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower)