PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu kumnyima uspika hakukumtosha.... watamfukuza chama kabisa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Anamchukia binti kwaajili ya dini yake.
 
Anatafuta kutekwa, goodness akitekwa madhambi yake yote kwa raia yanafutika. Gen Z watamuona naye ni victim wa udikteta wa Samia na itakuwa ni kete ya kisiasa kwake.
 
Mpe muda,atakuja na maelezo mda si mref!
 
Inamaanisha Nyumbu wezi na waharibifu wa mali wanajaribu kuficha uchafu wao wa wizi na uharibifu wa mali kwa kisingizio yalikua maandamano ya amani wakiamini unyumbu walioufanya hautaonekana
 
Tafsiri zipo nyingi hasa kwenye mavyeo yao wanayotumbuana!

Angestaafu kwa heshima na upendo bila kujeruhi mioyo ya waTz kwenye utumishi wake, tungelishea naye kwa furaha.

Anajisogezaje kwenye jamii iliyonuna?

Nadhani huyu ni msomi asiyeelimika, ni wa kupuuza kwa kila jambo analolianzisha, jamii tushikamane kumkataa.
 
Inamaanisha Nyumbu wezi na waharibifu wa mali wanajaribu kuficha uchafu wao wa wizi na uharibifu wa mali kwa kisingizio yalikua maandamano ya amani wakiamini unyumbu walioufanya hautaonekana
Swali rahisi
Kati ya Samuya na raia ni nani anajaribu kuficha alichokifanya?
Kwa sababu raia walioharibu mali za watu japo si sahihi kufanya uharibifu ila bado walizipost wao wenyewe mtandaoni, hawakuficha kitu. Kwa nini Samuya anaficha watu aliowaua
 
Na jiuliza hivi huuo Bi kidawa hatakiwi ccm, hatakiwi na wananchi na hatakiwi nje ya tanganyika na hata akhera hawamtaki pia?
"Who are you?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ