Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.Swali rahisi
Kati ya Samuya na raia ni nani anajaribu kuficha alichokifanya?
Kwa sababu raia walioharibu mali za watu japo si sahihi kufanya uharibifu ila bado walizipost wao wenyewe mtandaoni, hawakuficha kitu. Kwa nini Samuya anaficha watu aliowaua
Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.
Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.
waandamanaji na kuiba pesa? Za kanisa? Mbona hao hamuwataji ili Hali wao ndo walikua wanapalindaSwali rahisi
Kati ya Samuya na raia ni nani anajaribu kuficha alichokifanya?
Kwa sababu raia walioharibu mali za watu japo si sahihi kufanya uharibifu ila bado walizipost wao wenyewe mtandaoni, hawakuficha kitu. Kwa nini Samuya anaficha watu aliowaua
Ila Lucha si unakumbuka mwanzo ulisema haupo upande wowote, yani haupo upande wa CCM wala wa raia wanaopinga utawala wa sasa, na ukasema Watanzania ni nyumbu kwa sababu ni waoga.Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.
Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.
Kanisani kwa Gwajima walioharibu na kuiba mali ni polisi wa CCM, sio waandamanajiNa kanisani kwa GWAJIMA walahari
bu waandamanaji na kuona pesa? Za kanisa
EX DPM na EXS wanapaswa achia ubunge maana wamedharirishwa haswaSwali la Msingi
Ila pia nami nina wasiwasi mahusiano ya bi Who are you? Na hawa watu
1. EX- VP
2.EX-PM
3.EX- DPM
4. EX-Speakers ( Bi Mkola n late Ndugai)
5.Hili la VP niliache kwanza
Kwa ufupi amefanya Wazanzibar wachukiweTafsiri zipo nyingi hasa kwenye mavyeo yao wanayotumbuana!
Angestaafu kwa heshima na upendo bila kujeruhi mioyo ya waTz kwenye utumishi wake, tungelishea naye kwa furaha.
Anajisogezaje kwenye jamii iliyonuna?
Nadhani huyu ni msomi asiyeelimika, ni wa kupuuza kwa kila jambo analolianzisha, jamii tushikamane kumkataa.
Hyena, hyena. . . Nambari one.
Active Moderator Paw Maxence Melo tunaomba kwa dhati kabisa na kwa unyenyekevu mfute ID ya huyu member. Thihaka yake dhidi ya wahanga wa maandamano iko nje ya ubinadamu. Mkiendelea kumwacha huyu kuendelea kuwadhalilisha marehemu na wahanga tutahesabu na nyie ni sehemu ya watesi wa wahanga.Inamaanisha Nyumbu wezi na waharibifu wa mali wanajaribu kuficha uchafu wao wa wizi na uharibifu wa mali kwa kisingizio yalikua maandamano ya amani wakiamini unyumbu walioufanya hautaonekana
6. DiwaniSwali la Msingi
Ila pia nami nina wasiwasi mahusiano ya bi Who are you? Na hawa watu
1. EX- VP
2.EX-PM
3.EX- DPM
4. EX-Speakers ( Bi Mkola n late Ndugai)
5.Hili la VP niliache kwanza
Mwashamba ila she is intelligent na msomi..Hawa bloodsuckers wanataka mwashamba ambaye ni zero brain anaejua kusifia na kukata mauno tuHivi Betina alibugi wapi? Mbona alikuwa Mwashambwa mzuri tu!!
POS alt PA.Samia hafichi chochote na juzi kasema kama kuna nyumbu yoyote anataka tena kuingia barabarani kuleta vurugu wizi na uharibifu wa mali anakaribishwa na atapokelewa vizuri sana.
Mnaoficha ujinga wenu mlioufanya ni nyie nyumbu kwa kupost clip mkiwa mnachapwa risasi za vichwa ila za kuchoma mali za watu , za umma na wizi wenu hamzipost nyumbu kabisa.