PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katengwa kwenye sinia ya chakula, lazima aumie
 
Mke mdogo wa Abdul wewe
 
Anazuga tu atapewa kazi nyingine, serikalini kuna mavyeo mengi

By Jpm
'Mavyeo mengi' si kweli!

Kwa nafasi aliyokuwa nayo nafasi kwake si nyingi ni tatu tu: Waziri mkuu, Makamu wa Rais na Rais na zote zishajaa!

Sasa kuna utata hapa kuhusu mafao manono ya Spika wakati huo bado ni Mbunge, sijui huwa wanafanyaje tu!
 
Mh wa zamani amechelewa.
Amepata cheo kikubwa kwenye umri mdogo sasa anatamani kubaki na cheo chake lakini mazingira yamemtupa mkono.
Avumilie machungu ya mapito ya kisiasa kama wenzake.
Hakuna aliyejua kama dr Bashiru angekuwa hapo alipo leo.
 
Nimekumbuka zile katuni wakati JPM anaingia madarakani
 
  • Tafsiri: Huyo binti ni CHADEMA, Vifaa alivyovitumia ni TEC
  • Jani ni CCM, Mawe ndio wananchi/waTZ
Kwa hiyo maanayake ni CHADEMA ikafikiri sana na kuomba ushauri na usaidizi wa TEC juu ya kuiondoa CCM na kuwahadaa watanzania wote ili waachane na CCM na kuungana nao ktk kuiondoa CCM. Mwishoni wakagundua kuwa mbinu zao zote hazikufanikiwa.
CCM imebaki na wananchi wameendelea na kazi za kujitafutia rizki zao na kumkubali Rais na kuwadharau CHADEMA na TEC. Hivyo CHADEMA na TEC wameweka mpira kwapani nakuachana na matukio.
 
Kwamba anafunika ukweli akidhani hajaonekana kumbe kaonekan
 
Huyo bora ajitulize. Bimdashi kashavurugwa sio poa yaani. Yani Bimdashi kapoteana, sasa akileta dharau dharau atabinywa sio muda.

Nje ya mada: Huyu ni mmoja wa Spika Mpumbavu kuwahi kutokea bongo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…