Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Mwanzo 21:
9, Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
 
Mtu yoyote kutoka bara akija kuishi Zanzibar, akili za 90% ya wazanzibar wanawaza mojawapo ya haya;
1. Ni mgalatia mwenye hatari ya kuambukiza ugalatia Zanzibar!
2. Amekimbia dhiki bara ili kuja kuneemeka Zanzibar hivyo kuzuia riziki kwa wazanzibar!
3. Ana malengo maalum mabaya ya siri dhidi ya Zanzibar au wazanzibar!

Angalizo
Ukija Zanzibar njoo kwa tahadhari, adabu na hekima.
 
Aiseee!!!

Na huu ni ukweli bayana.
 
Tupe jibu Eric Masawe ni nani yake hata awe anamtumia hela kila siku?.
 
Hivi kwanini serikali haiwasaidii wahitaji kama hao?
Kwanini hela waliyokua wanatumia kufiturisha watu wasingewasaidia wahitaji? Eti unafiturisha matajiri mashehe wasanii na maaskofu na kuna walemavu wanahaha mtaani. Viongozi wajitafakari vizuri
Huyu FaizaFoxy huwa anasema kufuturisha wasioufunga na matajiri ni sawa na dinner tu!
 
kati ya maeneo sijawahi hata kupenda kwenda hata kutembea ni duniani, ya kwanza ni zanzibar, ya pili ni south africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…