- Thread starter
- #21
Hii ninaunga mkono kwa asilimia 1000ADUI mkubwa wa Wazanzibari ni DINI na ujinga kwa sababu hawajasoma, hakuna kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ninaunga mkono kwa asilimia 1000ADUI mkubwa wa Wazanzibari ni DINI na ujinga kwa sababu hawajasoma, hakuna kingine
Washika dini?! Washenzi tu.Na Zanzibar kuna washika dini haswa hadi wanachapa bakora wenzao wasiofunga
Mwanzo 21:Mwanzo 21:9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. 10Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe.
HAPA NDIPO ASILI YA UZAO WA CHUKI, ULIPAJI VISASI, MAUAJI, UGAIDI ULIPO ANZIA.
WATU WA VISIWANI NI KAMA WATU WA UZAO WA ISHIMAEL WENGINE, USISUMBUKE NAO
Aiseee!!!Mtu yoyote kutoka bara akija kuishi Zanzibar, akili za 90% ya wazanzibar wanawaza mojawapo ya haya;
1. Ni mgalatia mwenye hatari ya kuambukiza ugalatia Zanzibar!
2. Amekimbia dhiki bara ili kuja kuneemeka Zanzibar hivyo kuzuia riziki kwa wazanzibar!
3. Ana malengo maalum mabaya ya siri dhidi ya Zanzibar au wazanzibar!
Angalizo
Ukija Zanzibar njoo kwa tahadhari, adabu na hekima.
Tupe jibu Eric Masawe ni nani yake hata awe anamtumia hela kila siku?.Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.
Huyu FaizaFoxy huwa anasema kufuturisha wasioufunga na matajiri ni sawa na dinner tu!Hivi kwanini serikali haiwasaidii wahitaji kama hao?
Kwanini hela waliyokua wanatumia kufiturisha watu wasingewasaidia wahitaji? Eti unafiturisha matajiri mashehe wasanii na maaskofu na kuna walemavu wanahaha mtaani. Viongozi wajitafakari vizuri
Kimsingi nichakula cha jioni sio futari. Kwani padri anafunga? Kwanini afuturishweHuyu FaizaFoxy huwa anasema kufuturisha wasioufunga na matajiri ni sawa na dinner tu!
kati ya maeneo sijawahi hata kupenda kwenda hata kutembea ni duniani, ya kwanza ni zanzibar, ya pili ni south africa.Mtu yoyote kutoka bara akija kuishi Zanzibar, akili za 90% ya wazanzibar wanawaza mojawapo ya haya;
1. Ni mgalatia mwenye hatari ya kuambukiza ugalatia Zanzibar!
2. Amekimbia dhiki bara ili kuja kuneemeka Zanzibar hivyo kuzuia riziki kwa wazanzibar!
3. Ana malengo maalum mabaya ya siri dhidi ya Zanzibar au wazanzibar!
Angalizo
Ukija Zanzibar njoo kwa tahadhari, adabu na hekima.
Kwanini bosikati ya maeneo sijawahi hata kupenda kwenda hata kutembea ni duniani, ya kwanza ni zanzibar, ya pili ni south africa.