Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Zanzibar ni kunguni Fulani! ....

Ni kwa sababu tu za kiintelijensia tu...ndio maana tunaishi Nako ndani!

Vinginevyo!!!.... Haka kakunguni....! Kalifaa kufutiliwa mbali!.... Na kizazi chake chote!

Vishenzi sana na vibaguzi mnoo! hivi vidubwasha!
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.

Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.

View attachment 2977699
Nimejiskia vibaya Sana an
 
Mimi mwanaume we SHOGA LA KIPEMBA nataka nikipelekee moto icho kinyeo tatizo hutaki kutoa location au unaogopa🤣🤣
James delicious ruksa kuolewa papa kasema 😀 😀 😀 😀
 
Angalia nyuzi nyie mmejaza huku mnaonyesh chuki, watu wa pwani hawafuati mila zenu za bara nyie ndio mmeleta wezi huku..Dharau za kutupiana maneno mara kupeana majina mabaya

Majambazi wote wanatokea Mbeya , Arusha , Mara , Mwanza nyie ni tabu sana

Polisi hapa wanaua watu kutwa , mbona husemi Tanganyika unasema wa Tanzania, bora mnyanyaswe kabisa hata polisi wenu ni wabaguzi wanaua watu kila siku.

Zanzibar sisi wa pwani ni ndugu zetu wale kuliko nyie , huu ndio ukweli bora kukaa na mzanzibar kuliko nyie .
Uko sawasawa kweli?
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.

Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.

View attachment 2977699
Sijaona kubaguliwa hapa
 
Back
Top Bottom