Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Na wale nje ya msikitini wanaokingaga mikono?
Haitakiwi ile .. si katika dini hata anavyofanya baharesa si sawa .. wale watu ni wa kusaidiwa kwa mfumo maalum ambao dini umeweka ili asirudi kuomba omba tena

Samurah bin Jundub (May Allah be pleased with him) reported: Messenger of Allah ﷺ said, "Begging is a cut that a person inflicts upon his face; except for asking a ruler, or under the stress of circumstances from which there is no escape".
 
Ulisikia wapi Zanzibar wanategemea bara wakati wamepokwa mamlaka na bara? , sisi ukanda wa pwani ni ndugu zetu nyie kutoka bara hawahusu .
Ukimaliza kupayuka unaenda kuchaji simu na laptop kwenye umeme wa Tanganyika
 
Tofauti na kazi sijui zenji unawezaje kwenda kuishi,mimi huwa nawashangaa watu.

Mikoa zaidi ya 20 bara,yenye kila sifa za ziada kuizidi zenj,unakwenda zenj ambako utaitwa kwa jina la kichwa chako,utahudumiwa kwa imani unayoabudu,utakula kwa masharti!!!!!

Acha yanaowakuta huko yawe ni mambo waliyojitakia.
 
Aliyekuambia mimi mkristo ni nani ewe SHOGA? 🤣🤣 sema nyie wa pwani nasikia watam sema situmiagi vitu hivyo🤣
Mpakwa mafuta papa karuhusu muolewe hadhaani, yaani hata baba yako naye anaolewa. 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom