Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Mtu yoyote kutoka bara akija kuishi Zanzibar, akili za 90% ya wazanzibar wanawaza mojawapo ya haya;
1. Ni mgalatia mwenye hatari ya kuambukiza ugalatia Zanzibar!
2. Amekimbia dhiki bara ili kuja kuneemeka Zanzibar hivyo kuzuia riziki kwa wazanzibar!
3. Ana malengo maalum mabaya ya siri dhidi ya Zanzibar au wazanzibar!

Angalizo
Ukija Zanzibar njoo kwa tahadhari, adabu na hekima.
Huku mkija mnatuletea ushoga tu mbwa nyinyi.
 
Shule ipi kenge wewe, hamna ukanda uliouzwa waliondoka ,pwani tumebaki na asili yetu hatufanani na nyie wabara hata mfanyaje ....Ukanda wa pwani ni sehemu ya zanzibar nyie machzi wa bara sio ndugu zetu .

Nionyeshe hizo documents ambazo waliuziwa Tnganyika , pwani sio mali ya mzungu kenge wewe!

Hiyo BOT imeanzishwa na wazanzibar nyie ni kuchapwa kabisa maana hamuelewi kazi vyeti fake tu 😀 😀dogo elimu huna unaforce endelea kumfuata yesu hku hujui kitu ,
pwani ipi sasa, kwahiyo na mimi niliyezaliwa Dar es salaam na nina nyumba dsm, ni mzanzibari? mimi ni raia wa zanzibar? nije basi mnipe kitambulisho.
 
pwani ipi sasa, kwahiyo na mimi niliyezaliwa Dar es salaam na nina nyumba dsm, ni mzanzibari? mimi ni raia wa zanzibar? nije basi mnipe kitambulisho.
Hatutaki urafiki na nyie wajinga, shobo za nn wachafu?
 
Shangazi Fatuma ameiona hii?

Mfahamisheni aweze kutetea ili jambo
 
Mnapowaua albino na kuuza mifupa yao hamlioni?A pot calling a kettle black.
Bara mnawaweka walemavu darini nalo ni kosa la Muungano.Mpo kwenye nyumba ya vioo halafu mnarusha mawe.
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Ivi kwann nyie dini ya kuruhusu ushoga mnapenda sana kulia lia
 
Unaongea nn? yaani zanzibar inakuhusu nn ? Acha unafiki nchii hapa watu wanauliwa daily na serikali wewe unafautilia ya zanzibar kama sio tabia za kike.

Mtu ana kosa anahojiwa nyie mnaingia udini na ubara, hamuwezi kufanya chochote kile.
Acha usengelema wako mkileta pigo zenu za kikuda nasisi wabara tutawakolimba maana sasa mmevuka led line dadeki zenu
 
Hii mijitu ianze kulipa Bili za umeme, mibinafsi halafu inapenda kubebebwa, walipe umeme kuanzia leo..
 
Mtu yoyote kutoka bara akija kuishi Zanzibar, akili za 90% ya wazanzibar wanawaza mojawapo ya haya;
1. Ni mgalatia mwenye hatari ya kuambukiza ugalatia Zanzibar!
2. Amekimbia dhiki bara ili kuja kuneemeka Zanzibar hivyo kuzuia riziki kwa wazanzibar!
3. Ana malengo maalum mabaya ya siri dhidi ya Zanzibar au wazanzibar!

Angalizo
Ukija Zanzibar njoo kwa tahadhari, adabu na hekima.
Kufanya nini sasa huko lafudhi yenyewe watu wanaongea kama wamebugia jiwe la moto siipendi Zanzibar na waliomo
 
Sasa hapo kanyanyaswa nini kwaiyo aendelee kuwa ombaomba?
 
Unaongea nn? yaani zanzibar inakuhusu nn ? Acha unafiki nchii hapa watu wanauliwa daily na serikali wewe unafautilia ya zanzibar kama sio tabia za kike.

Mtu ana kosa anahojiwa nyie mnaingia udini na ubara, hamuwezi kufanya chochote kile.
Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe, mtabagauana hata kwa sauti basi tu ili ubaguzi uwepo.
Ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom