Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Tupe jibu Eric Masawe ni nani yake hata awe anamtumia hela kila siku?.
Huyu kuna mtu anayeitwa Erick Masawe ,anaytumia hela anazokusanya,huyu Erick Masawe ni nani kwake?Ndio swali analoulizwa,na hasemi ni nani kwake.Na kwa nini anamtumia hizo hela?Huwenda huyu anatumiwa na huyo mtu kwa nguvu,na pengine wapo wrngine pia huuo Erick,anawalazimisha waombe mitaan na nyumva za ibada,halafu wamtumie yeye hizo hela.
 
Dah wananyanyasa na kubagua hadi Kobaaz mwenzao? Je mimi mgalatia na myahudi mweusi wa Bonyokwa?

adriz hydroxo Mufti kuku The Infinity Accumen Mo
Kama yeye
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Kama yeye ni Muislam kweli kwanini aombe hela kwa Waislam halafu hela hizi za Waislam azitume kwa Erick Massawe wakati hilo jina siyo Kiislsm?
Ritz hebu rudi huko kwenye mitandao ya wamatekani uje tushirikiane kumsulubu huyu kafiri anayeomba hela za wana ummat na kutuma kwa makafiri wenzake
 
Hiyo dini yao imewaathiri akili sana wale watu. Dini yenyewe ililetwa toka mbali
Nilikuwa naota...zenji wamepamba moto siku za hivi karibuni, upinde nao wako juu!

- Nchi yote kwa ujumla iko chini ya kisiwa

Kuna lolote la kufikiri?
Kuna hitilafu mahala?
Ni sawa nchi nzima kuwa chini ya upande mmoja?

Wale waimba pambio, wengine wanazo hadi kengele, wanatumia makalio kufikiri?

Nukuu: Raisi wa Zanzibar anaingia kwenye baraza la mawaziri kama waziri!
 
Mwanzo 21:9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. 10Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe.

HAPA NDIPO ASILI YA UZAO WA CHUKI, ULIPAJI VISASI, MAUAJI, UGAIDI ULIPO ANZIA.

WATU WA VISIWANI NI KAMA WATU WA UZAO WA ISHIMAEL WENGINE, USISUMBUKE NAO
Hakuna kitu kama hiko. Abraham alikuwa Muebrania na Hajiri alikuwa mweusi sasa huyo Mkuresh ametokea wapi?
 
Jamaa wana roho mbaya sana sijapata kuona.
 
Ubaguzi upo kila mahali ndugu yangu, ipo katika misingi ya kikabila, kidini, rangi, ukanda, elimu n.k.

Kikubwa ninacho kiona hapo ni kuwa Bwana Ali alitiliwa shaka kwa mienendo yake na hao raia. Hayo maneno maneno ni katika kumtia kashikashi ili ajue kuwa wamemshtukia.

ANGALIZO: Siungi mkono ubaguzi unaozingatia misingi yoyote ile.
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Sidhani kama hapo wanamnyanyasa kwa sababu ya Uzanzibar. Sehemu yeyote ombaomba ananyanyasika. Ndio maana kuwa ombaomba si sifa.
 
Angalia nyuzi nyie mmejaza huku mnaonyesh chuki, watu wa pwani hawafuati mila zenu za bara nyie ndio mmeleta wezi huku..Dharau za kutupiana maneno mara kupeana majina mabaya

Majambazi wote wanatokea Mbeya , Arusha , Mara , Mwanza nyie ni tabu sana

Polisi hapa wanaua watu kutwa , mbona husemi Tanganyika unasema wa Tanzania, bora mnyanyaswe kabisa hata polisi wenu ni wabaguzi wanaua watu kila siku.

Zanzibar sisi wa pwani ni ndugu zetu wale kuliko nyie , huu ndio ukweli bora kukaa na mzanzibar kuliko nyie .
na waislamn wa kigoma na kondoa sio ndugu zenu? ndio maana tunasema hamna akili. bora mwende tu.
 
na waislamn wa kigoma na kondoa sio ndugu zenu? ndio maana tunasema hamna akili. bora mwende tu.
Kwani nimekuambia kwa kigezo cha dini? Kuwa na akili zanzibar ni pwani wana milki ya ukanda wa pwani wote.
 
Zanzibar wanaongezewa mishahara wanapendana huku kazi kupeleka pesa huKo Dodoma jangwani na Arusha.
 
Kwani nimekuambia kwa kigezo cha dini? Kuwa na akili zanzibar ni pwani wana milki ya ukanda wa pwani wote.
ndo maana nasema shule ni shida. kama haujui, hata kabla hamjafanya mapinduzi dhidi ya mwarabu, sultan alishauza ukanda wooote kuanzia mtwara hadi mombasa. ndio maana hata katiba yenu inatambua mipaka ile ya wakati ule mnafanya mapinduzi, kwasababu kabla ya hapo Tanganyika ilishachora mstari wake. sultani wenu aliuza pwani yote kwa mjerumani na muingereza, na sisi tulipokea kijiti toka kwa muingereza kukiwa na mipaka hii ya sasa. chenu ni kisiwa cha unguja na pemba na tuvisiwa tunatowazunguka tu. Mafia ndio iliuzwa kitambo mno, ushahidi wote upo. pigeni shule ndugu zangu.
 
Hawa Wazanzibar ni mbwa na hawafai kabisa mimi nashangaa huku kwetu kuna watu wanawashobokea sana na kujifanya ndugu zao! Binafsi nawachukia sana.
 
Hawa Wazanzibar ni mbwa na hawafai kabisa mimi nashangaa huku kwetu kuna watu wanawashobokea sana na kujifanya ndugu zao! Binafsi nawachukia sana.
wanamiliki ardhi nyingi sana kigamboni na pwani yote, hadi mikoani wanamiliki ardhi. ila sisi kwao No. kama hatuna akili vile?
 
ndo maana nasema shule ni shida. kama haujui, hata kabla hamjafanya mapinduzi dhidi ya mwarabu, sultan alishauza ukanda wooote kuanzia mtwara hadi mombasa. ndio maana hata katiba yenu inatambua mipaka ile ya wakati ule mnafanya mapinduzi, kwasababu kabla ya hapo Tanganyika ilishachora mstari wake. sultani wenu aliuza pwani yote kwa mjerumani na muingereza, na sisi tulipokea kijiti toka kwa muingereza kukiwa na mipaka hii ya sasa. chenu ni kisiwa cha unguja na pemba na tuvisiwa tunatowazunguka tu. Mafia ndio iliuzwa kitambo mno, ushahidi wote upo. pigeni shule ndugu zangu.
Shule ipi kenge wewe, hamna ukanda uliouzwa waliondoka ,pwani tumebaki na asili yetu hatufanani na nyie wabara hata mfanyaje ....Ukanda wa pwani ni sehemu ya zanzibar nyie machzi wa bara sio ndugu zetu .

Nionyeshe hizo documents ambazo waliuziwa Tnganyika , pwani sio mali ya mzungu kenge wewe!

Hiyo BOT imeanzishwa na wazanzibar nyie ni kuchapwa kabisa maana hamuelewi kazi vyeti fake tu 😀 😀dogo elimu huna unaforce endelea kumfuata yesu hku hujui kitu ,
 
Back
Top Bottom