njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Haitakiwi ile .. si katika dini hata anavyofanya baharesa si sawa .. wale watu ni wa kusaidiwa kwa mfumo maalum ambao dini umeweka ili asirudi kuomba omba tenaNa wale nje ya msikitini wanaokingaga mikono?
Samurah bin Jundub (May Allah be pleased with him) reported: Messenger of Allah ﷺ said, "Begging is a cut that a person inflicts upon his face; except for asking a ruler, or under the stress of circumstances from which there is no escape".