Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Nchi inahitaji kiongozi mmoja tu mwenye akili awe rais nakuhakikishia chadema wakishika hii nchi tutajuta kuzaliwa Tanzania

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwani ni lazima iwe Ccm au Chadema tu ? Kinaweza kikaanzishwa chama kingine kipya na kikashika Dola kama kitakuwa na watu makini !! Kusema kwamba Nchi inahitaji kiongozi mmoja tu mwenye akili awe Rais hiyo itakuwa ni sawa na kubadili chupa lakini mvinyo ni ule ule !!
 
Sio kila kitu kitaweza kuonekana jambo la muhimu Mama ameruhusu uhuru wa habari ili aweze kujua yanayoendelea mtaani pia maana mengine anaweza asiambiwe lakini kwa maoni mbali mbali toka mtaani anapata habari na kuchukua hatua.
 
Uhuru wa habari Upo kisheria na sio ruhusa ya uyo mama yenu
 
Kwakuwa Katiba huwa inavunjwa vunjwa kadri wanavyotaka baadhi ya watu ndio maana uhuru wa habari huwa unaonekana kama fadhila !! Bado tupo mbali sana !!
 
Sio kila kitu kitaweza kuonekana jambo la muhimu Mama ameruhusu uhuru wa habari ili aweze kujua yanayoendelea mtaani pia maana mengine anaweza asiambiwe lakini kwa maoni mbali mbali toka mtaani anapata habari na kuchukua hatua.
Uhuru gani unaongelea. Huu wa waandishi wa magazeti kuondoka na bashasha na kuripoti uongo!!
 
Unasukwa mpango hapo wa kuziiba
 
Uhuru gani unaongelea. Huu wa waandishi wa magazeti kuondoka na bashasha na kuripoti uongo!!
Wewe vyura endelea kuogelea kwenye majaruba ya mpunga ndo msimu wa mvua huu hayo mengine yamekuzidi urefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…