mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wapigaji ni lazima watengeneze mtandao wa kutangaza misifa kibao !!Sijui kazi nzuri anayosifiwa nayo mama ni ipi mlioko huko mtujuzi tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigaji ni lazima watengeneze mtandao wa kutangaza misifa kibao !!Sijui kazi nzuri anayosifiwa nayo mama ni ipi mlioko huko mtujuzi tafadhali
Kwani ni lazima iwe Ccm au Chadema tu ? Kinaweza kikaanzishwa chama kingine kipya na kikashika Dola kama kitakuwa na watu makini !! Kusema kwamba Nchi inahitaji kiongozi mmoja tu mwenye akili awe Rais hiyo itakuwa ni sawa na kubadili chupa lakini mvinyo ni ule ule !!Nchi inahitaji kiongozi mmoja tu mwenye akili awe rais nakuhakikishia chadema wakishika hii nchi tutajuta kuzaliwa Tanzania
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Itakuwa na meno ya kuweza kuwajibisha wazembe na kuongeza uwajibikajiSasa katiba mpya na hio v8 vinausiana nini
Utaitwa sukuma gangUnazani kungekuwa na mfumo imara hilo gari lingekuwa hapo? Mnatetea ujinga mtupu, huyo mama ni veru weak
Plate namba si zimetolewa? Hiyo kwenye kioo jamaa hajafuta tuMbona bado lina plate No.STL......?
Uhuru wa habari Upo kisheria na sio ruhusa ya uyo mama yenuSio kila kitu kitaweza kuonekana jambo la muhimu Mama ameruhusu uhuru wa habari ili aweze kujua yanayoendelea mtaani pia maana mengine anaweza asiambiwe lakini kwa maoni mbali mbali toka mtaani anapata habari na kuchukua hatua.
Wamejaza mitoto ya makada hopelessKwani hao wanaoitwa WAZEE WA KITENGO hawapo siku hizi kuchukua hatua stahiki?
Raia sisi ndio wajingaCCM wameifanya Nchi hii kuwa shamba la Bibi.
Ukiwatetea au ukizitetea hizo mali za watanzania baadaye watatumwa hao hao watanzania ambao ni dhoofu lhali waje wakudhalilishe au wakudhuru !Raia sisi ndio wajinga
Kwakuwa Katiba huwa inavunjwa vunjwa kadri wanavyotaka baadhi ya watu ndio maana uhuru wa habari huwa unaonekana kama fadhila !! Bado tupo mbali sana !!Uhuru wa habari Upo kisheria na sio ruhusa ya uyo mama yenu
Sema umetamani tu kutoa frustrations zako kwa kuandika ulichoandikaUnazani kungekuwa na mfumo imara hilo gari lingekuwa hapo? Mnatetea ujinga mtupu, huyo mama ni veru weak
Ndiyo ninazifahamu. Ni kufuatilia magari yaliyofichwa KitumbiniKazi za rais unazifahamu?
Walikuwa sahihi 100%Wakoloni weupe pia walikuwa wakisema hivyo hivyo kuhusu TANU kuwa hawawezi kushika Dola ati ni chama cha wanywa kahawa.
Siku hizi madukani, vituo vya mafuta, risiti hazitolewi tena. Ukidai risiti, jicho utakolotupiwa unaweza zimia.Kazi ya CAG ni kuimba ngonjera mama hawezi fanya kitu
Sio kweli, sema labda guwa huombi risiti.Siku hizi madukani, vituo vya mafuta, risiti hazitolewi tena. Ukidai risiti, jicho utakolotupiwa unaweza zimia.
Uhuru gani unaongelea. Huu wa waandishi wa magazeti kuondoka na bashasha na kuripoti uongo!!Sio kila kitu kitaweza kuonekana jambo la muhimu Mama ameruhusu uhuru wa habari ili aweze kujua yanayoendelea mtaani pia maana mengine anaweza asiambiwe lakini kwa maoni mbali mbali toka mtaani anapata habari na kuchukua hatua.
Unasukwa mpango hapo wa kuziibaHuku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya kupiga pesa za umma, na wanaratiba za kwenda majukwaani kutoa machozi ya mamba.
Hawa watawala wanashindana kutoa machozi ya mamba kuhadaa wajinga na ionekana jamaa wanajali sana wanancni na wako na wanancji lakini uhalisia ni kwamba wana syndicate ya kuimaliza nchi.
Raisi anatoa crocodile tears tu na kuhadaa umma, hakuna kitu, kwamba raisi anauchungu na hii nchi ni uongo mkubwa sana, raia tusipo simama wenyewe kulinda hii nchi kwa niaba ya vizazi vijavyo tutakuwa hatutendi haki.
Angalia gari kama hilo ni kodi zetu, ni kodi za wazazi wetu kule kijijini wanao isha life gumu lakini still wanakamuliwa na Serikali kodi ili wakanunue magari kama haya na baadae wanayatelekeza mtaani.
Hata katiba mpya haitabadilisha huu ujinga zaidi ya kuja kuwa show kwamba tumechoka.
View attachment 2587531
Wewe vyura endelea kuogelea kwenye majaruba ya mpunga ndo msimu wa mvua huu hayo mengine yamekuzidi urefuUhuru gani unaongelea. Huu wa waandishi wa magazeti kuondoka na bashasha na kuripoti uongo!!