Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Kwanini mnataka kila kitu afanye Mama? Hilo gari limekwishaonekana mbona hara Mtendaji tu wa Mtaa wa Kitumbini anaweza chukua hatua?

Nadhani tatizo ni sisi walalamikaji wenyewe. Why kila kitu tumtupie Rais?
Unazani kungekuwa na mfumo imara hilo gari lingekuwa hapo? Mnatetea ujinga mtupu, huyo mama ni veru weak
 
Kwani unadhani ikitengenezwa mtaani na bei ya gharama zake zitaandikwa zile zilizolipwa hapo garage ya mtaani. ??! Hakuna kitu kama hiyo ! Watu wanataka fweza mkuu !!
 
STL imeuzwa? Comment za aina hii ndio zinafanya watawala wachekelee, STK bado ziko Barabarani unasema STL imeuzwa?
 
STL imeuzwa? Comment za aina hii ndio zinafanya watawala wachekelee, STK bado ziko Barabarani unasema STL imeuzwa?
Kuuzwa ?! Au inataka kuibwa ??! Hapo zilipo nadhani ni karibu na mtaa wa libya wapo mafundi wa garage bubu, kimtaa kidogo kinachoelekea soko la kisutu !!
 
Hatari sana, mali zisizo kuwa na mwenyewe hizi, raia ni kweli tusipo amka, huu ujinga hautakaa uishe na ndio kwanza unaongezekana
Mali hizo ni za wananchi ambao kila siku iendayo wanalipa kodi kupitia bidhaa na huduma mbalimbali wanazolipia !! Usiseme mali hazina mwenyewe ! Wenyewe ndio sisi sote ukiwemo na wewe !
 
Kwanini mnataka kila kitu afanye Mama? Hilo gari limekwishaonekana mbona hara Mtendaji tu wa Mtaa wa Kitumbini anaweza chukua hatua?

Nadhani tatizo ni sisi walalamikaji wenyewe. Why kila kitu tumtupie Rais?
Mkubwa ni jalala.
 
Sisi wa tz tunajua kuongea tu mitandaoni ndo maana watu wanazidi kufanya wanavyotaka

Angalia kule kwa wenzetu sjui bangalesh watu walijimilikisha ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…