Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ukifanya hivo Halafu ukawajibishwa mbele ya sheria utajiteteaje mkuu? Hebu tupe hints.Vundikeni mayai muwapige wakianza kujiliza liza majukwani majizi hayo
Hawa wanajifungia bungeni wakikutana kwenye chakula wanacheka sana na kusema wizi uendelee
Watajiuzi, wameagiza mengine 81 mapyaWizi wa mali za umma umekithiri sana.
Yale mapya wanajiuziaTunaagiza mengine.
View attachment 2587625
Bila kuiondoa CCM madarakani hawa wezi wataendelea kufanya watakavyo sababu ndio watawalaHuku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya kupiga pesa za umma, na wanaratiba za kwenda majukwaani kutoa machozi ya mamba.
Hawa watawala wanashindana kutoa machozi ya mamba kuhadaa wajinga na ionekana jamaa wanajali sana wanancni na wako na wanancji lakini uhalisia ni kwamba wana syndicate ya kuimaliza nchi.
Raisi anatoa crocodile tears tu na kuhadaa umma, hakuna kitu, kwamba raisi anauchungu na hii nchi ni uongo mkubwa sana, raia tusipo simama wenyewe kulinda hii nchi kwa niaba ya vizazi vijavyo tutakuwa hatutendi haki.
Angalia gari kama hilo ni kodi zetu, ni kodi za wazazi wetu kule kijijini wanao isha life gumu lakini still wanakamuliwa na Serikali kodi ili wakanunue magari kama haya na baadae wanayatelekeza mtaani.
Hata katiba mpya haitabadilisha huu ujinga zaidi ya kuja kuwa show kwamba tumechoka.
View attachment 2587531
Ukiona hivyo tayari wameshajiuzia hayoNimekutana na haka ka-clip kakionyesha magari mawili ya serikali yakiwa yamefichwa/telekezwa maeneo ya Dar mtaa wa kitumbini jirani na Peacock hotel! Moja ina usajili wa STL kwenye kioo! Kwa mujibu wa mtu anayerekodi clip hio anadai kwamba gari hizo Moja imekaa zaidi ya miezi mitatu hapo!
Seems hii taarifa sio njema kwa namna yoyote! Kama una bando angalia hapa
View attachment 2587666
Mali ya umma haina mwenyewe musee.., yaani kila mtu anachukua kimfuaacho.., hapo kuna mawili, mosi kuuuzwa na kutobadilishwa chochote kusikilizia msala, pili mtumishi kuchukua na kulihifadhi kwanza kusikilizia msala, an then after wanakuja kubadili vitu baadhi na kuingizwa Road.Nimekutana na haka ka-clip kakionyesha magari mawili ya serikali yakiwa yamefichwa/telekezwa maeneo ya Dar mtaa wa kitumbini jirani na Peacock hotel! Moja ina usajili wa STL kwenye kioo! Kwa mujibu wa mtu anayerekodi clip hio anadai kwamba gari hizo Moja imekaa zaidi ya miezi mitatu hapo!
Seems hii taarifa sio njema kwa namna yoyote! Kama una bando angalia hapa
View attachment 2587666
Saaafi sanaMali ya umma haina mwenyewe musee.., yaani kila mtu anachukua kimfuaacho.., hapo kuna mawili, mosi kuuuzwa na kutobadilishwa chochote kusikilizia msala, pili mtumishi kuchukua na kulihifadhi kwanza kusikilizia msala, an then after wanakuja kubadili vitu baadhi na kuingizwa Road.