Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Dahh..

Jamaa kanifurahishaa kwa hudhuni... Eti ni Mungu mwenyewe anajua..

Dah..

Kaongea kwa uchungu sanaa...
 
Gari imetegwa Apo wanafanya mchakato wa kadi kutok umilk wa serikali hadi mtu binafs

Asee inaumiza yaan sisi wa Tz tunawez kusimamia nn

Kwa Teknojia yote lakn mtu anafany wiz/mwenendo mchafu kama huu
Au inauzwa kama chuma chakavu.
 
Inasikitisha sana kodi zetu jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…