Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Hata ukitaka kukubali Kwamba Waliopewa dhamana wanatimiza wajibu wao lakini hali halisi inatuumbua.
Tumuombe Mungu ainusuru nchi hii pakusemea hakuna.
 
spika yupo kwa ajili ya kumlinda rais bungeni

kila makosa yanayofanyika wanajificha kwenye kichaka cha JPM
haina ubishi serikali imefeli ni vile tu hakuna wa kuongea hadharani maana mpaka wale wapinzani feki wameonjeshwa asali
Job Ndugai aliwaambia Nchi itauzwa hii eti mkampuuza Mgogo wa Watu! Sasa muda ni Mwalimu mzuri sana!!
 
Kuna hujuma kubwa sana nyuma yaaaaa ila Mungu huyu hawezi acha hili lipite bila watu wachache kuadhibiwa kwa uovu huu. Tiss yetu angalile haya ipo siku mtasema kudaiwa kaz mlifanya nyie hamna ushirika na serikali ama kiongozi nyie ndio jamuhuri msichoke hata kama mnachoshwa
 
Gari ama limepelekwa gereji ya vichochoroni mtu ana usajili wa garage kumbe feki. Hapo serikali itadaiwa mamilioni na hakuna kitu kimetengenezwa ila ujanjaujanja. Ama gari lipo njiani kuibiwa ndio maana wamepose hapo miezi mitatu kusoma kama wanaweza lipoteza gari hilo. Ndio maana unaona wametoa namba plates watu wasishituke ila raia mwema mzalendo machale yakacheza.
Hakika tunategemea wananchi kupata maelezo kuhusu gari hilo maana namba za usajili wake ziko wazi.
 
ndio maana nchi za uarabuni huwa ikifikia hivi Raia wanaingia Ikulu kila mtu anatoka na chake

kwa haraka nilikuwa nawaona wapuuzi ila ukitafakari wana akili sana, Li V8 kama hilo mtu kajichukulia ukute hata kwa 30 mils
30mln Yote hiyo? Nimeshudia kifaa cha thamani ya sh 5mln kikauzwa kwa sh 40,000
 
Kwanini mnataka kila kitu afanye Mama? Hilo gari limekwishaonekana mbona hara Mtendaji tu wa Mtaa wa Kitumbini anaweza chukua hatua?

Nadhani tatizo ni sisi walalamikaji wenyewe. Why kila kitu tumtupie Rais?
Kazi za rais unazifahamu?
 
Wewe huna hoja kila leo Magufuli huyo bibi yenu Samia serkali yake daifu na Makengeza wana lamba asali huwezi kuwasema!
 
C
Chadema tukishika hatamu tutawafilisi wote hao hata wakikimbilia nje ya Nchi tutatumia Interpol kuwakamata na kuwarudisha ili wakanyee debe.
Chadema wenyewe majizi tu, hii nchi itakombolewa na sisi wananchi wenyewe na siyo wanasiasa hawa wanaopigia kelele Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa manufaa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…