Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

Ukiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu, nadhan wameamua kutumia ubabe na vitisho kwa waumini wao ili wasiende kutafuta huduma za Mungu sehem nyingine...
Kama unajiamini umemfundisha muumini wako vzuri kuhusu neno la Mungu kwanin umtishie asiende kwa wahubiri wengine..?
Ni kukosa akili tu, sikuhiz dunia sio kama ya enzi za akina Nyerere mambo mengi yamebadirika mtake msitake lazima madhehebu yabadirike ktk kufundisha neno la Mungu...
Sasa nyie ng'ang'anieni upuuzi end of the day mtabak na picha na masanam ktk majengo[emoji23]
Mabenchi yapo wazi wapi huko? Tuje tushuhudie
Huku kwetu kuna misa tano na zote zinajaa
achana na ya watoto ya saa 10
 
Mkuu seriously Kanisa Katoliki liingie vitani na mtu? Hapo Iringa ni mara ya kwanza injili kuhubiriwa na Protestants? Akina Gwajima hawajapita?

Pamoja na tofauti zetu za msingi Wakristo zipo huduma ni hatari kwa roho za Wakristo hasa wachanga.

Kanisa limeshamaliza, sasa kama anataka yaendelee alifikiri atapata umaarufu zaidi itakula kwake. Kanisa limesema na waamini wake yeye pia aseme na wake!
Fuatilia Misingi na Misimamo ya Kanisa Katoliki.

Hata kama hulipendi lakini SOMA NA FUATILIA.

MTUME MWAMPOSA...?

Yaani Kanisa Katoliki lipigane na mtu anayejiita MTUME?

HIYO HAIKO.

Waamini mapepe wako n wataendelea kuwepo.
Kanisa limekazia kwamba ukiwa waamini wa Iringa wana imani ya Mashaka wakae pembeni...hilo limeisha.

Iko sala itafuata ya kuwaombea waregevu wa Imani itawakuta huko mbele na itawasaidia.

Catholics live her Values and Mantain!
 
Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu..

Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki..

"Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu"

Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na linalozoa kila Mtu.

"Wakiwatisheni kuwa mkija Kwangu mkifa hawatowazikeni msiogope njooni Kwangu nitawapeni Huduma ya Kimaombi na Mbinguni mtafika. Wameshindwa kuwashibisha Imani na Neno la Mungu na Mimi sasa naifanya Kazi hiyo"

Kama Serikali haitoingilia kati baina ya hawa Wawili naiina Hatari ya Kiimani, Kijamii na kubwa ya Kiusalama.
Acha wafu wazike wafu wao.
 
Halafu mbona swala la kuzika wakatoliki wanalikazia sana,,? Kwani hao mnowazika kikatoliki mna uhakika gani wanaenda peponi kwa kuwa tu mmewazika,,? Na hao mnaokataa kuwazika mna uhakika gani kuwa wanaenda jehanamu,,? Kanisa limekuwa na masharti mengi sana siku hizi mara sijui jumuia mara vipango Mara nini mara nini,, jumuia zenyewe sio jumuia zimejaa uzinzi tu na uasherati,,
Islam is the right path for everyone
 
Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu..

Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki..

"Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu"

Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na linalozoa kila Mtu.

"Wakiwatisheni kuwa mkija Kwangu mkifa hawatowazikeni msiogope njooni Kwangu nitawapeni Huduma ya Kimaombi na Mbinguni mtafika. Wameshindwa kuwashibisha Imani na Neno la Mungu na Mimi sasa naifanya Kazi hiyo"

Kama Serikali haitoingilia kati baina ya hawa Wawili naiina Hatari ya Kiimani, Kijamii na kubwa ya Kiusalama.
Serikali haina Dini, na hakuna shida hapa ktk kuwakumbusha Waamini Imani yao...

Mungu mwenyewe atasimamia hili na Mwovu Shetani atashindwa.
 
The bulldozer huyu jamaa ni noma sana... sema Roma taasisi kubwa atasepa ataiacha ila atawatembezea moto
 
Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu..

Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki..

"Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu"

Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na linalozoa kila Mtu.

"Wakiwatisheni kuwa mkija Kwangu mkifa hawatowazikeni msiogope njooni Kwangu nitawapeni Huduma ya Kimaombi na Mbinguni mtafika. Wameshindwa kuwashibisha Imani na Neno la Mungu na Mimi sasa naifanya Kazi hiyo"

Kama Serikali haitoingilia kati baina ya hawa Wawili naiina Hatari ya Kiimani, Kijamii na kubwa ya Kiusalama.
kulinganisha kanisa katoliki na upuuzi wa mwamposa ni fedheha
 
Ukiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu,
Unazungumzia makanisa ya wapi hayo ya RC? Hapa kwetu watu tunaomba misa ziwe tatu, maana mbili hazitoshi kukidhi idadi ya watu. Halafu unajua Jimbo Kuu la Dar es Salaam pekee lina zaidi ya Parokia 100 ?
 
Wakatoliki wapumbavu sana yaani Mwamposa anawatoa jasho kiasi hiko.
 
Leo Dodoma Rev Eliona Kimaro na Mwakasege wamekaribishwa kwenye kongamano la Kanisa Katoliki la Pentekoste! Kanisa likiona huduma yako imejaa makando alafu unataka kuliweka kidole machoni unafyatuliwa tu.

Naangalia live hapa TV Upendo injili inaendelea!
Kanisa Katoliki la Pentekoste!
 
Hiyo kauli ya miaka Nenda Rudi we unakuja kuilink na matukio ya Sasa .
Kuwa makini huu ni uchochezi😎
 
Ukiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu, nadhan wameamua kutumia ubabe na vitisho kwa waumini wao ili wasiende kutafuta huduma za Mungu sehem nyingine...
Kama unajiamini umemfundisha muumini wako vzuri kuhusu neno la Mungu kwanin umtishie asiende kwa wahubiri wengine..?
Ni kukosa akili tu, sikuhiz dunia sio kama ya enzi za akina Nyerere mambo mengi yamebadirika mtake msitake lazima madhehebu yabadirike ktk kufundisha neno la Mungu...
Sasa nyie ng'ang'anieni upuuzi end of the day mtabak na picha na masanam ktk majengo😂
Mkuu unachomoa betri.
 
Back
Top Bottom