prettya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 227
- 191
Mabenchi yapo wazi wapi huko? Tuje tushuhudieUkiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu, nadhan wameamua kutumia ubabe na vitisho kwa waumini wao ili wasiende kutafuta huduma za Mungu sehem nyingine...
Kama unajiamini umemfundisha muumini wako vzuri kuhusu neno la Mungu kwanin umtishie asiende kwa wahubiri wengine..?
Ni kukosa akili tu, sikuhiz dunia sio kama ya enzi za akina Nyerere mambo mengi yamebadirika mtake msitake lazima madhehebu yabadirike ktk kufundisha neno la Mungu...
Sasa nyie ng'ang'anieni upuuzi end of the day mtabak na picha na masanam ktk majengo[emoji23]
Huku kwetu kuna misa tano na zote zinajaa
achana na ya watoto ya saa 10