Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

Mabenchi yapo wazi wapi huko? Tuje tushuhudie
Huku kwetu kuna misa tano na zote zinajaa
achana na ya watoto ya saa 10
 
Fuatilia Misingi na Misimamo ya Kanisa Katoliki.

Hata kama hulipendi lakini SOMA NA FUATILIA.

MTUME MWAMPOSA...?

Yaani Kanisa Katoliki lipigane na mtu anayejiita MTUME?

HIYO HAIKO.

Waamini mapepe wako n wataendelea kuwepo.
Kanisa limekazia kwamba ukiwa waamini wa Iringa wana imani ya Mashaka wakae pembeni...hilo limeisha.

Iko sala itafuata ya kuwaombea waregevu wa Imani itawakuta huko mbele na itawasaidia.

Catholics live her Values and Mantain!
 
Acha wafu wazike wafu wao.
 
Islam is the right path for everyone
 
Serikali haina Dini, na hakuna shida hapa ktk kuwakumbusha Waamini Imani yao...

Mungu mwenyewe atasimamia hili na Mwovu Shetani atashindwa.
 
The bulldozer huyu jamaa ni noma sana... sema Roma taasisi kubwa atasepa ataiacha ila atawatembezea moto
 
kulinganisha kanisa katoliki na upuuzi wa mwamposa ni fedheha
 
Ukiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu,
Unazungumzia makanisa ya wapi hayo ya RC? Hapa kwetu watu tunaomba misa ziwe tatu, maana mbili hazitoshi kukidhi idadi ya watu. Halafu unajua Jimbo Kuu la Dar es Salaam pekee lina zaidi ya Parokia 100 ?
 

WATOTO WA MADRASA 20 WALAWITIWA ARUSHA, MMOJA AKUTWA NA UKIMWI, OSTADH AHUSISHWA, AKAMATWA​

Ohooooo,mbona Kama hii ni Vita nyingine nje ya Ile ya mtoa mada. Ama vita moja huanzisha nyingine?
 
Wakatoliki wapumbavu sana yaani Mwamposa anawatoa jasho kiasi hiko.
 
Kanisa Katoliki la Pentekoste!
 
Hiyo kauli ya miaka Nenda Rudi we unakuja kuilink na matukio ya Sasa .
Kuwa makini huu ni uchochezišŸ˜Ž
 
Mkuu unachomoa betri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…